Nchini Tanzania, wakati jeshi la polisi likunukuliwa na vyombo vya habari kukana kumshikilia Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, CHADEMA, John Heche mwenyewe ameibuka na kukanusha taarifa hiyo, huku akidai kukamatwa kwake kunaweza kuwa jaribio la utekwaji nyara. Sudi Mnette amezungumza na mwanasiasa huyo.