You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tahadhari ya joto kali yatolewa mashariki mwa Marekani
Hali ya hewa inatarajiwa kufikia nyuzi joto 39 katika kipimo cha Celcius huko New York.
Mashabiki, joto na siasa: Kombe la Dunia la Vilabu
Kombe la Dunia la Vilabu nchini Marekani mpaka sasa limekuwa kinyang'anyiro chenye sura nyingi.
Dunia yakaribia kikomo cha 1.5°C – imebaki miaka mitatu tu
Dunia inahesabu dakika za mwisho — na Afrika Mashariki iko mstari wa mbele kwenye janga ambalo haikulitengeneza.
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 19 mjini Kinshasa
Mvua kubwa zilizonyesha kuanzia ijumaa hadi Jumamosi, zimesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo.
Kuzagaa kwa taka Dar es Salaam, Tanzania
Isikilize makala ya Mtu na Mazingira ambayo leo inaangazia changamoto ya kuzagaa kwa taka huko Dar es Salaam, Tanzania na jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ambayo imekuwa kero kwa wakaazi wa mji huo. Anuary Mkama ndiye aliyeiandaa makala hii.
Binti aliyejitosa kutunza mazingira Tanzania
Msichana jasiri wiki hii inamulika juhudi zinazofanywa na binti Ilakiza katika uhamasishaji wa kutunza mazingira nchini Tanzania. Anawaelemisha vijana wenzake kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi, uchafuzi wa mazingira, na umuhimu wa kuhifadhi vyanzo vya maji na misitu. #msichanajasiri #vijana #mazingira #tabianchi #tanzania
Asia Kusini kukabiliwa na janga msimu wa kipupwe
Jamii katika eneo lote la Himalaya Hindu Kush huko barani Asia wanakabiliwa na hatari inayoongezeka ya janga katika kipi
Watu 49 wafariki Afrika Kusini kufuatia mvua kubwa
Maafa makubwa yameripotiwa nchini Afrika Kusini kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyozikumba sehemu mbalimbali za nchi
Mataifa yatoa wito wa kuwepo mkataba wa plastiki wenye nguvu
Nchi 90 zimetoa wito wa kusainiwa mkataba wa kimataifa wa kudhibiti uzalishaji wa plastiki, kabla ya kuanza mazungumzo.
Mkutano wa Kimataifa wa maswala ya bahari waanza Ufaransa
Kaulimbiu kuu ya Mkutano ni: Kuharakisha hatua na kuhamasisha wadau wote kulinda na kutumia bahari kwa njia endelevu.
Moto wachochea kasi ya kutoweka kwa misitu Brazil
Msimu wa majanga ya moto uliovunja rekodi mwaka jana nchini Brazil ulisababisha kutoweka kwa kasi kwa misitu wa Amazon.
Changamoto ya marufuku ya matumizi ya plastiki nchini Kenya
Ingawa Kenya ilichukua hatua ya kupiga marufuku mifuko ya plastiki miaka iliyopita, bado uchafuzi wa plastiki umeenea.
Lee Jae-myung aapa kutuliza joto kati yake na Pyongyang
Lee alishinda uchaguzi uliochochewa na tamko la mtangulizi wake la kuiweka nchi hiyo chini ya sheria ya kijeshi.
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 200 Nigeria
Mabadiliko ya hali ya hewa yametajwa kusababisha hali hiyo nchini Nigeria
Malengo ya kupunguza viwango vya joto duniani hayatafikiwa
Kiwango hicho kinamaanisha patatokea majanga kama vile mafuriko sehemu mbalimbali za dunia kutokana na mvua kubwa.
UN yasema malengo ya kupunguza joto duniani hayatafikiwa
Ina maana dunia inatarajiwa kusalia katika viwango vya juu vya joto baada ya kushuhudiwa joto kali zaidi 2023 na 2024.
Umoja wa Falme za Kiarabu warikodi viwango vya juu vya joto
Umoja wa Falme za Kiarabu umekuwa ukikabiliwa na hali ya joto kali kuliko kawaida wakati wa msimu wa kiangazi.
Kocha Xabi Alonso kuondoka Leverkusen mwisho wa msimu
Leverkusen ilipoteza taji kwa Bayern Munich wikendi iliyopita zikiwa zimesalia mechi mbili msimu kukamilika.
UN: Marekani yahujumu mkataba wa hali ya hewa
Marekani inapania kudhoofisha mkataba wa kimataifa unaozisaidia nchi masikini kukabiliana na athari za hali ya hewa.
Rudiger kukosekana hadi mwisho wa msimu
Rudiger atashiriki mashindano ya kombe la dunia la vilabu nchini Marekani mwezi Juni
Ureno na Uhispania zakumbwa na tatizo kubwa la umeme
Huduma za umeme zimekatishwa kutokana na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa yanayosababisha joto kali.
Hatma ya kocha Ancelotti kujulikana mwisho wa msimu
Ancelotti mwenye umri wa miaka 65 ndiye kocha pekee aliyewahi kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara tano
Teknolojia ya kisasa ya kilimo cha kumwagilia maji, Kenya
Teknolojia ya kisasa inatumia nishati ya sola kusambaza maji yanayotoka mto Thiba hadi mashambani kijijini Gachuriri.
Kongo yatahadharisha kuhusu Kimeta kwa wanyama
Zaidi ya viboko 50 wamekufa ndani ya kipindi cha wiki mbili, kutokana na kimeta nchini Kongo.
Mvua kubwa yauwa zaidi ya watu 30 Kinshasa
Mvua kubwa ilionyesha Ijumaa usiku kuamkia Jumamosi, iliharibu vitongoji vya mji huo wenye wakaazi milioni 17.
Mvua yasababisha vifo na maafa Kongo
Mvua zilizonyesha kwa siku tatu mfululizo mjini Kinshasa, zimesababisha vifo vya watu 22 na wengine 46 wakijeruhiwa,
Mtu na Mazingira: Tanzania na mradi wa Kijani Hai
Ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira nchini Tanzania, Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), wameanzisha Mradi wa Kijani Hai. Kijani Hai ni mpango ulioanzishwa 2017 nchini Tanzania na unaolenga uhifadhi wa mazingira, upandaji miti, na kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali asili.
UN: Majanga ya mazingira yaliwaacha wengi bila makazi 2024
Nchini Msumbiji, karibu watu laki moja waliachwa bila makao kutokana na kimbunga Chido.
Watu 40 wamekufa Marekani kutokana na dhoruba kali
Watu 40 wamekufa Marekani kutokana na dhoruba kali
Uhaba wa maji mkoani Kagera, Tanzania
Uharibifu wa vyanzo vya maji unachangia katika uhaba wa maji Kagera, Tanzania. Wakati nchi zikiendelea kuhimizwa kulinda mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, nchi na jamii zinajizatiti kuchukua hatua ili kuhakikisha jamii inatambua jukumu lake katika kulinda mazingira.
Ripoti: Idadi kubwa ya watu duniani huvuta hewa chafu
Wanasayansi wanasema: "Kuvuta hewa chafu kwa muda mrefu kunasababisha magonjwa."
Usalama wa miundombinu ya gesi na changamoto zake
Tanzania imekuwa ikifanya utafiti kuhusu ugunduzi wa gesi asilia kwa zaidi ya miaka hamsini, na ugunduzi wa kwanza ulifanyika mwaka 1974 katika kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi na baadaye mkoani Mtwara. Lakini usalama wa miundombinu ya gesi na changamoto zake kwa mazingira ni zipi?
Israel yasitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza
Eneo la Ukanda wa Gaza limeharibiwa kwa kiasi kikubwa na kampeni ya kijeshi ya Israeli tangu shambulizi la Oktoba 2023.
Marekani yajiondoa kufadhili miradi ya mazingira
Makubaliano hayo yalikuwa ni kuelekea juhudi za kuingia kwenye matumizi ya nishati isiyoharibu mazingira.
Japan yapambana na moto mkubwa wa nyika kuwahi kushuhudiwa
Mamlaka za Japan zimesema moto huo wa nyika ni mkubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa.
Mapinduzi ya Jikoni: Teknolojia safi ya kulisha nusu milioni
Katika jiko hili la kisasa, hakuna moshi, hakuna mashizi—ni mvuke tu unaofuka!
Makubaliano ufadhili wa baioanuwai yafikiwa Cop16
Wawakilishi kutoka nchi 200 wamekubaliana kuhusu mpango wa ufadhili wa ulinzi wa mazingira na baioanuai.
Mkutano wa bionauwai wafikia makubaliano
Wajumbe kutoka mataifa takribani 200 wamekubaliana juu ya mpango wa ufadhili wa ulinzi wa maumbile asili na viumbe hai.
Mazingira vs. uchumi: Je, Ujerumani inapaswa kuchagua?
Wataalamu wanahofu kwamba wanasiasa wanapambanisha ulinzi wa mazingira na ukuaji wa uchumi. Hii itakuwa na athari zipi?
Rushwa yatishia hatua za kukabiliana na hali ya hewa
Rushwa inatishia juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mataifa ya dunia yakosa mwafaka kuhusu mazingira
Mataifa mengi yanayochangia kiasi kikubwa cha uchafuzi wa mazingira duniani yamekosa kufikia muda wa mwisho uliowekwa na
Maandamano ya kupinga nishati ya visukuku yafanyika Paris
Wanaharakati wa hali ya hewa leo wamefanya maandamano mjini Paris ya kuzitaka kampuni za teknolojia kutotumia nishati ya
Hermoso: Busu la Rubiales "sio sahihi"
Kesi dhidi ya rais wa zamani wa shirikisho la soka la Uhispania kuhusu kumbusu mchezaji inaendelea Madrid.
Muswada wa kudhibiti uhamiaji Ujerumani washindwa bungeni
Utata kuhusu sheria hiyo na namna ambavyo ingepitishwa kwa msaada wa AfD, vimetikisa siasa za Ujerumani.
Karibu miili 28 yaopolewa kwenye mto Potomic, Washington
Ndege iligongana na helikopta ya kijeshi karibu na mji mkuu wa Marekani, Washington na kusababisha vifo.
Wakuu wa nchi 50 Afrika wakutana Tanzania kujadili nishati
Takwimu za nishati barani Afrika zinaonyesha hadi mwaka 2022 83% ya watu milioni 685 walikuwa hawajafikiwa na umeme.
Watoto milioni 240 waliathiriwa na hali mbaya ya hewa 2024
Shirika la Kimataifa la kuhudumia watoto lUNICEF limesema hali mbaya ya hewa iliathiri elimu kote duniani mwaka 2024.
UN yatoa wito kwa mataifa kuongeza juhudi kulinda mazingira
Rais Trump alitangaza kuiondoa Marekani katika mkataba wa Paris wa mwaka 2015 uliopitishwa na mataifa 195.
Trump aiondoa Marekani kwenye Mkataba wa Paris wa 2015
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini maagizo kadhaa ya rais yenye utata baada ya kuapishwa kama rais wa 47 wa nchi hiy
Kisiwa cha Mayotte kukabiliwa na kimbunga kipya Jumamosi
Wakaazi wa kisiwa cha Mayotte wanajiandaa kwa dhoruba ya upepo mkali na mvua kubwa Jumamosi Jioni (Januari 11, 2025)
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 29
Ukurasa unaofuatia