You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nishati ya jua Afrika: Mustakabali wa nishati jadidifu
Afrika inamiliki asilimia 60ya rasilimali za jua duniani, lakini hupokea asilimia 2 pekee ya uwekezaji wa nishati safi.
UN: Moto wa nyika unachochea uchafuzi wa hewa
Moto wa nyika unachochea uchafuzi wa hewa na kusababisha madhara makubwa kwa afya ya binaadamu na mazingira.
Mvua kubwa zaikumba India Kaskazini
Mafuriko kaskazini mwa India yamesababisha vifo vya angalau watu 5, haya yamesemwa na maafisa nchini humo.
Maporomoko ya udongo yaua watu 1,000 Darfur Sudan
Zaidi ya watu 1,000 wameangamia nchini Sudan, baada ya maporomoko ya udongo kutokea katika jimbo la Darfur.
Wanafunzi warejea shuleni katika mazingira magumu Goma
Wanafunzi wamerudi shule lakini ukosefu wa usalama na hali mbaya ya kiuchumi kumewaathiri pakubwa maelfu ya wananchi.
Vyama zaidi Tanzania vyazindua kampeni za uchaguzi
je, vyama hivi vya upinzani vilivyobaki vina nguvu za kuiondoa CCM madarakani?
Ogiek wanapigania kurejea msituni Mau
Jamii ya Ogiek nchini Kenya inapigania kurejesha ardhi ya mababu zao katika msitu wa Mau. Jamii hiyo imeishi msituni humo kwa muda mrefu japo serikali ya Kenya imewalazimisha kuondoka.
Umoja wa Mataifa waonya athari za joto kali kwa wafanyakazi
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametaka hatua za haraka zichukuliwe kuwalinda wafanyakazi kote ulimwenguni.
Mvua kubwa yasababisha maafa makubwa Rwanda
Watu waliojeruhiwa wanaendelea kuhudumiwa huku wananchi wakiombwa kuwa na tahadhari wakati mvua ikiendelea kunyesha.
Mvua zasimamisha shughuli za uokozi Pakistan
Mvua kubwa hunyesha wakati wa majira ya monsuni na kusababisha uharibifu mkubwa
Miili zaidi yapatikana janga la mafuriko Pakistan
Waokoaji nchini Pakistan wameipata miili zaidi ya watu waliokufa kutokana na mafuriko makubwa.
Msimu mpya wa kandanda la Ujerumani kuanza
Msimu wa ligi kuu Ulaya unaanza hii leo hapa Ujerumani kesho kutakuwa na mechi ya ufunguzi wa pazia ya German Cup ambapo Bayern Munich watakuwa wanakwaana na VfB Stuttgart, lakini usiku wa leo huko England na Uhispania, Premier League pamoja na La Liga zitakuwa zinacheza mechi za kwanza.
Joto la kisiasa lazidi kupanda Tanzania kuelekea Uchaguzi
Mgombea wa ADC, Wilson Elias Mulumbe, amesema kuwa akichaguliwa, huduma zote za kijamii zitakuwa bure.
Mazungumzo ya UN kuhusu mkataba wa plastiki yarefushwa
Uzalishaji wa plasitiki utaongezeka mara tatu kufikia mwaka 2060 na kuathiri zaidi dunia na binadamu.
Mvua kubwa ya ghafla yasabisha vifo Kashmir
Zaidi ya watu 20 wamefariki na wengine zaidi ya 200 hawajulikani walipo katika eneo la Jamuu na Kashmir.
Wimbi la joto lasababisha maafa Ulaya
Mioto ya nyika inayosababishwa na wimbi la joto na upepo mkali imeendelea kufanya uharibifu kusini mwa Ulaya Jumatano na
Ujerumani yakabiliwa na joto la kupindukia
Ujerumani inakabiliwa na joto kali la msimu wa joto Jumatano, huku viwango vya joto vikizidi nyuzi 30 kote nchini humo.
Siku ya Tembo Duniani
Ni kwenye Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo, inayokaliwa na tembo wakubwa kabisa barani Afrika na wanyama wengine. Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Tembo, juhudi za uhifadhi, kupambana na ujangili na namna bora ya kukabiliana na uvamizi kwenye maeneo ya binaadamu, zinasaidia kuwanusuru wanyama hawa. #kurunzi
Msanii anayepambana na uchafuzi wa taka Kinshasa
Katika wilaya ya Limete mjini Kinshasa, taka zenye sumu zimetanda barabarani na kuziba njia za maji. Nyingi huishia kwenye Mto Djili, chanzo kikuu cha maji ya kunywa jiji humo. Sasa mto huo umejaa uchafu, zikiziba barabara na kutatiza maisha ya kila siku kwa wakaazi.
Mazungumzo ya plastiki yafichua unafiki wa mataifa tajiri
Ingawa yanajitokeza kuunga mkono mkataba huo, wachambuzi wa mazingira wanasema kauli zao hazilingani na mchango wao.
Kenya yatoa mafunzo ya magari ya umeme kwa madereva wake
Licha ya wamiliki wa magari binafsi Kenya kuzidi kununua magari ya umeme, bado nchi hiyo haina magari ya aina hiyo katika sekta ya usafiri wa umma. Baadhi ya wadau wamezindua mpango wa mafunzo wa magari hayo, unaolwaenga madereva wa usafiri wa umma, wakihimiza matumizi yake yana faida nyingi.
Nchi kadhaa za Ulaya zakabiliana na mioto ya nyika
Moto huo uliozuka jana Ijumaa umeharibu karibu ekari 10,000 za misitu.
Mahakama yaagiza mwili wa Lungu kurudishwa nyumbani kuzikwa
Lungu, aliongoza Zambia kati ya 2015 hadi 2021, na alifariki dunia nchini Afrika Kusini Juni 5 wakati akipatiwa matibabu
Uhifadhi wa mti wa shea ni biashara nyeti nchini Uganda
Mti wa shea ni muhimu sana si tu kwa uhifadhi wa mazingira katika ukanda kati ya Uganda na Ghana barani Afrika lakini pia kama kitega uchumi nyeti kwa jamii zinazoishi maeneo hayo. Tukichukua mfano wa Kaskazini mwa Uganda, mti huo pamoja na mazao yake umekuja kuthaminiwa sana baada ya watu kufahamu manufaa yake endelevu kwa maisha yao badala ya wao kuikata kwa ajili ya mkaa na kuni.
Mazungumzo ya mkataba wa plastiki yaendelea Geneva
Mazungumzo ya kujaribu kukamilisha mkataba wa kihistoria wa kimataifa wa kukomesha janga la uchafuzi wa plastiki.
Juhudi za kupambana na uchafuzi wa plastiki zaendelea Geneva
Wajumbe kutoka mataifa 160 wanakutana Geneva kujaribu kufikia makubaliano ya kukabiliana na uchafuzi wa plastiki.
Mkutano wa kimataifa juu ya plastiki wafanyika Geneva
Wawakilishi wa visiwa wanapigania kusainiwa mkataba huo muhimu kwa vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira.
Mataifa ya magharibi ´yakabwa koo´ athari za plastiki
Mashinikizo mapya yameibuliwa dhidi ya mataifa ya Magharibi kuhusiana na athari za plastiki.
Msichana anayetumia taka za plastiki kubuni bidhaa
Sarafina ni msichana mbunifu anayetumia taka za plastiki kubuni bidhaa.
Zelensky: Kuna haja ya kubadili utawala nchini Urusi
Rais huyo wa Ukraine ameongeza kuwa kuna haja ya kubadili utawala nchini Urusi.
Mamilioni warejea nyumbani baada ya Tsunami kupungua
Shughuli nyingi za kiuchumi zilivurugwa kutokana na kitisho cha Tsunami kwenye eneo la pwani ya Bahari ya Pasifiki
Papa Leo XIV ahimiza diplomasia katika kusuluhisha mizozo
Papa Leo ameitoa kauli hiyo alipokuwa akiadhimisha miaka 50 ya Makubaliano ya kihistoria ya Helsinki.
Urusi yaimiminia tena Ukraine 'mvua ya droni'
Ving'ora vya tahadhari viliwashwa kwenye maeneo mengi ya Ukraine kufuatia mashambulizi mengine makubwa ya droni za Urusi
Vijana waanza kurekodi vitendo vya uhalifu Goma
Lengo la vijana hao ni kutaka haki itendeke pale muda na mazingira vitakaporuhusu.
ICJ yachukuwa jukumu dhidi ya ongezeko la joto duniani
Maoni ya ushauri kama ya mahakama ya ICJ hayalazimishwi kisheria, lakini yana umuhimu mkubwa.
Vifo kutokana na mvua kubwa Korea Kusini vyafikia 17
Korea Kusini kwa kawaida huwa imejiandaa kwa mvua kubwa lakiini imekumbwa na mvua nyingi kupita kiasi kilichozoeleka.
Zaidi ya watu 100 wafa kwa mafuriko nchini Pakistan
Maelfu ya watu hufa, nyumba kuporomoka na barabara na madaraja kusombwa na maji kila mwaka kutokana na mvua kubwa.
UNESCO yasifu maboresho ya sheria za mitandao Tanzania
Ni mkutano unaotathmini mafanikio, changamoto na malengo ya baadaye ya sekta za habari barani Afrika.
Alonso: Real Madrid itarudi imara msimu ujao
Alonso, asisitiza kuwa kibarua chake cha kuiongoza Madrid kinaanza sasa rasmi.
Raila atoa wito wa mazungumzo kutuliza joto la kisasa Kenya
Vijana wa Gen Z wamekuwa wakiandamana kulalamikia uongozi mbovu na ukatili dhidi yao unaodaiwa kufanywa na polisi.
EU yapendekeza kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya kaboni
Mapendekezo hayo hayo yametolewa wakati bara Ulaya linakabiliwa na viwango vya juu zadi vya joto
Ulaya inaendelea kukabiliwa na viwango vya juu vya joto
Wataalamu wanashauri watu kunywa maji mengi, kula vizuri, kutotoka nje mchana na kumwagia mwili maji kila wakati.
Joto la Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Tanzania
Joto la Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani limeanza kupanda nchini Tanzania kwa wagombea kuchukua fomu.
Joto kali laihangaisha Ulaya
Joto kali zaidi latarajiwa kushuhudiwa Ujerumani Jumatano
Nchi nane zalenga kutoza kodi usafiri wa anga wa kifahari
Sekta ya usafiri wa anga ni mchangiaji mkubwa wa gesi chafu zinazosababisha ongezeko wa joto duniani.
Watu 50,000 wahamishwa Uturuki kuepuka moto ya nyika
Uhispania, Ureno, Italia na Ufaransa ameripoti pia wimbi la joto kali.
Yanga SC yashinda mataji yote ya soka Tanzania
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania imefagia mataji yote msimu huu katika ligi za Tanzania
Klopp: Kombe la Dunia la Vilabu ni wazo la "hovyo"
Michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu ilipingwa vikali na hasa vilabu ambavyo havokufuzu kushiriki michuano hiyo
Wataalamu wakutana Dar es Salaam kujadili kilimo na lishe
Kulingana na WFP, watu zaidi ya milioni 295 katika nchi 53 walikumbwa na njaa kali mwaka 2024
Mamilioni ya Wamarekani waathiriwa na joto kali
Mwaka 2025 unatarajiwa kuwa miongoni mwa miaka mitatu inayoongoza kwa kuwa na viwango vya juu vya joto
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 29
Ukurasa unaofuatia