You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani kutoa msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukaine
Hatua hiyo inajiri wakati Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump ikiwa umesitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Ujerumani yasema Urusi inacheza mchezo dhidi ya Ukraine
Urusi imekubali kusitisha kwa muda mashambulizi kwenye vituo vya nishati huku Ukraine ikitangaza kushambuliwa.
Ujerumani yapitisha mpango wa ukomo wa ukopaji
Bunge la Ujerumani, Bundestag, liliidhinisha mpango wa kihistoria wa kulegeza kikomo cha ukopaji cha Ujerumani.
Trump na Putin: Miundo mbinu haitoshambuliwa Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump amejitwisha jukumu la upatanishi katika dhamira ya kuvimaliza vita vya miaka mitatu kati y
Bundestag yapitisha mpango dhidi ya ukomo wa serikali kukopa
Baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani, wanaupinga mpango huo wakisema utaitwika Ujerumani mzigo mkubwa wa madeni.
Bunge la Ujerumani kupitisha kuzuia kikomo cha ukopaji
Mpango huo unaotarajiwa kupitishwa na wabunge unalenga kulegeza sheria za katiba na kuondoa ukomo wa kukopa.
Jamii ya kimataifa yaahidi dola bilioni 6 kwa ujenzi Syria
Marekani haikutoa ahadi yoyote ya fedha ikiyataka mataifa mengine sasa kuchukua jukumu hilo.
Korti Ujerumani yausafishia njia mpango wa Merz wa ukopaji
Merz anasema kuna haja ya mabadiliko kufanywa kutokana na mabadiliko ya sera ya Marekani chini ya Rais Donald Trump.
Merz ampendekeza Klöckner kuwa Spika wa Bunge la Ujerumani
Merz ampendekeza Julia Klöckner kuwa Spika ajaye wa Bunge la Ujerumani
Ujerumani na swali la msingi kuhusu silaha za nyuklia
Mabomu ya nyuklia ya Marekani bado yapo Ujerumani, lakini msimamo wa Donald Trump umedhoofisha vizuwizi vya nyuklia.
Ujerumani: Rasimu mpya ya mpango wa fedha yawekwa wazi
Jumla ya euro bilioni 100 kutoka katika mfuko maalumu zitaongezwa katika mfuko wa sasa.
Ujerumani yapitisha mpango mpya wa matumizi ya fedha
Kiongozi mwenza wa chama cha SPD Lars Klingbeil alisema kupitishwa kwa mpango huo kumeiimarishia nguvu Ujerumani.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii yamezingatia juu ya wasiwasi wa kuzuka tena vita huko Sudan Kusini. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yachukua hatua kwa ajili ya kulinda bei ya madini yake ya Kobalt. Na hatari ya kuzuka vita vingine nchini Ethiopia
Bunge la Ujerumani lajadili ukomo wa deni la taifa
Merz alisema Ujerumani lazima ikope mabilioni ya fedha kufadhili ulinzi na miundombinu na lazima iwe tayari kujilinda.
Wabunge wa Ujerumani kujadili makubaliano makubwa ya matumizi ya serikali
Wabunge wa Ujerumani wanatazamiwa kujadili hatua ya Kansela mtarajiwa Friedrich Merz kufanyia mageuzi makubwa sheria zinazozuia ukopaji - hatua muhimu inayofuata kwa wahafidhina wake kuweza kuunda serikali mpya ya mseto ya Ujerumani. Mshirika wao anayetarajiwa, SPD, kinaunga mkono mapendekezo hayo, lakini vyama hivyo viwili vinakosa theluthi mbili ya wingi wa kura zinazohitajika.
SADC kuondoa vikosi vyake mashariki mwa Kongo
Mwezi Januari, wanajeshi 15 wa kikosi hicho cha SADC cha SAMI-DRC waliuawa katika vita vya mashariki mwa Kongo.
Fredrich Merz atetea mipango yake ya bajeti bungeni
Kansela mtarajiwa Fredrich Merz atetea mipango yake ya bajeti bungeni
SADC yaondowa wanajeshi wake Mashariki mwa Kongo
SADC yaamuwa kuondowa wanajeshi wake Mashariki mwa DRC
Je, serikali mpya Ujerumani kutuliza mdororo wa uchumi?
Sekta ya uchumi inataka utulivu na uwezo wa kuchukua hatua – kuna mashaka ikiwa serikali mpya itaweza kuyatekelez hayo.
Utawala wa Trump wafuta zaidi ya 80% ya miradi ya USAID
Uamuzi huu umefuata mapitio ya wiki sita chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na DOGE, inayoongozwa na Elon Musk.
CDU/CSU na SPD kuanza mashauriano ya kuunda serikali
Muungano wa kihafidhina na SPD kuanza mashauriano rasmi ya kuunda serikali
Viongozi wa jumuiya ya SADC kujadili mgogoro wa Kongo
Viongozi wa jumuiya ya SADC kujadili mgogoro wa Kongo
CDU/CSU na SPD zaanza rasmi mazungumzo ya kuunda serikali
Vyama ndugu vya CDUna CSU vinaanza rasmi Alhamisi mazungumzo ya kuunda serikali na Chama cha SPD.
Mgomo mkubwa wa viwanja vya ndege waendelea Ujerumani
Viwanja 13 vikiwemo vikubwa vya ndege vimelazimika kufuta maelfu ya safari za ndege za ndani na za kimataifa.
Iran, China na Urusi kuanza luteka za pamoja za kijeshi
Luteka hizi za kijeshi kati ya Urusi, China na Iran hufanyika kila mwaka kwa lengo la kujiimarisha.
Ujerumani yaihimiza Israel kuondoa vikwazo vya misaada Gaza
Awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas ilimalizika mwanzoni mwa mwezi Machi.
Wafanyakazi katika viwanja vya ndege Ujerumani wagoma
Viwanja vya ndege nchini Ujerumani vyashuhudia migomo, Maelfu ya safari za ndege zimefutwa.
Ujerumani kuelekeza mabilioni ya yuro katika jeshi
Ujerumani inapanga kupitisha mpango mkubwa wa matumizi kwa ajili ya jeshi na miundombinu na kufuta kikwazo cha deni.
Rais wa Syria aapa kushughilikia mauaji ya jamii ya Alawite
Umoja wa Mataifa umesema unaendela kupokea ripoti za kushtusha za familia zinazouwawa Kaskazini magharibi mwa Syria.
Matangazo ya Jioni 09.03.2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 09 Machi 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
SPD yaunga mkono kushirikiana kuunda serikali na CDU/CSU
Kamati kuu ya taifa ya Chama cha SPD, imeamua kwa sauti moja kuingia kwenye mazungumzo ya kuunda serikali na CDU/CSU
Mgomo wasababisha kufungwa uwanja wa ndege wa Hamburg
Mgomo huo ulioitishwa na chama cha wafanyakazi cha Verdi ulipaswa kuanza Jumapili jioni na kuhitimishwa Jumatatu usiku.
Ujerumani yawasilisha ombi la Euro 2029 kwa wanawake
Ujerumani inaungana na mataifa mengine matano ambayo tayari yalikuwa yametangaza nia hiyo.
Mataifa ya Kiislamu yaridhia mpango wa kuijenga upya Gaza
Jumuiya ya Nchi ya Kiislamu OIC imeuridhia mpango wa kuujenga upya Ukanda wa Gaza bila ya kuwahamisha Wapalestina.
Ujumbe wa Hamas wawasili Cairo
Ujumbe wa Hamas wawasili Cairo ili kuendeleza juhudi za kuyarefusha makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza.
Marekani yasitisha kuipa Ukraine taarifa za intelijensia
Marekani wiki hii ilitangaza kusitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine inayopambana dhidi ya Urusi kwa miaka mitatu sasa.
CDU, SPD vya Ujerumani vyakubaliana mpango wa kifedha
Hayo ni wakati kukiwa na hofu kuwa Marekani inapoteza dhamira ya kushirikiana na Ulaya na jumuiya ya kujihami ya NATO.
Ujerumani yasitisha msaada mpya kwa Rwanda
Watalaamu wa Umoja wa Mataifa wanasema waasi hao wanasaidiwa na wanajeshi wa Rwanda.
Smotrich kuelekea Marekani kwa ziara fupi
Smotrich atakutana na Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Bessent pamoja na maafisa wengine wa serikali.
Dereva auvamia umati na kuua mmoja, Mannheim- Ujerumani
Ujerumani imekabiliwa na matukio ya madereva kuvamia mikusanyiko na kusababisha vifo na wengine wanajeruhiwa.
Ujerumani- Austria zajiandaa kuunda serikali za muungano
Ulaya ikikabiliwa na mabadiliko ya kisiasa, Ujerumani na Austria zinajiandaa kuunda serikali za muungano wa kisiasa.
Jiji la Hamburg kupiga kura leo, SPD inatarajiwa kushinda
Chama cha mrengo wa wastani wa kushoto Social Democratic SPD kinatarajiwa kushinda jimboni humo.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi o1 Machi 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi o1 Machi 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
CDU/CSU, SPD waanza mazungumzo ya awali ya kuunda serikali
Wawakilishi wakuu wa vyama hivyo wamekutana siku ya Ijumaa katika jengo la Bunge mjini Berlin.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Ugonjwa wa ajabu ulioibuka Kongo na mzozo unaoendelea nchini humo vimetawala magazetini Ujerumani.
Von der Leyen yuko India kutafuta ushirikiano
Ursula von der Leyen, amesema umoja huo unatafuta ushirikiano wa kiusalama na kiulinzi na India.
Merz, Macron wakubaliana kuimarisha ushirikiano wao
Merz alikutana na Macron Paris kujadili usalama wa Ulaya kufuatia mabadiliko ya sera ya Marekani.
Macron afanya mkutano na Merz
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwanasiasa anayesubiri kuwa Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz wamefanya mazungumzo
Merz amtembelea Macron
Friedrich Merz amefanya ziara ya kushitukiza mjini Paris kukutana na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa.
Vijana wanavyokabiliana na historia ya ukoloni Afrika
Vijana wa Kiafrika wanakabiliana vipi na historia ya ukoloni? Tazama ziara hii ya vijana wa Afrika mjini Berlin.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 154
Ukurasa unaofuatia