You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Israel yashambulia hospitali kaskazini mwa Gaza
Israel yatetea mashambulizi yake katika hospitali ya Gaza baada ya kukosolewa na Ujerumani
Ukraine yasema Urusi imefanya mashambulizi 39 ya droni
Uingereza yatangaza kuongeza msaada wa kijeshi kwa Ukraine, katika hatua za Magharibi za kuiunga mkono nchi hiyo.
Ujerumani yatoa wito kwa vijana wajiunge na jeshi
Wito wa Ujerumani kwa vijana kujiunga na jeshi unaonekana kama ushajiishaji kwa vijana kuhudumu kwenye sekta ya ulinzi .
Ujerumani kusajili wanajeshi wapya
Serikali inaanza na hatua za awali zinazojumuisha kurejesha taratibu za uandikishaji wanajeshi na usimamizi,
Singo: Desturi ya kale kwa jamii za Waswahili
Kusingwa ni utamaduni wa kale wa urembo unaozidi kuibuka tena kwa kishindo katika Pwani ya Kenya.
Australia yapongeza mipango ya Ujerumani ya waomba hifadhi
Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani ya Austria, amesema kuwa Ujerumani inaanza kujiweka sawa na hatua kali za nchi hiyo.
CDU/CSU na SPD zafikia makubaliano kuunda serikali
Kansela ajaye wa Ujerumani, Friedrich Merz ameapa kuwa serikali mpya ya mseto itaisogeza tena mbele Ujerumani.
Ujerumani yafanikiwa kuunda serikali ya mseto
Ujerumani yafanikiwa kuunda serikali mpya ya mseto.
Ujerumani: Ukweli, uzushi na chuki juu ya uhalifu wa kigeni
Takwimu za polisi nchini Ujerumani za mwaka 2024 zinaonesha kwamba hali ya usalama iliimarika, lakini bado upo wasiwasi.
Philo Tsoungui, mpiga ngoma wa kike Ujerumani
Makala ya Utamaduni na sanaa inamuagazia kwa undani Philo Tsoungui, mmoja wa wapigangoma maarufu zaidi wa kike nchini Ujerumani. Akitokea katika familia mchanganyiko, mama Mjerumani na Baba kutoka Kameruni, Philo, sio tu anapambana kuvuka vizuizi vya mfumo dume, bali pia changamoto za ubaguzi dhidi ya watu weusi.
EU kuweka shinikizo la kuondoa ushuru mpya wa Trump
EU imeafikiana kutoa shinikizo zaidi kwenye mazungumzo yanayonuwia kuondoa kodi mpya za kulipiza kisasi za rais Trump.
Miaka 80 tangu kukombolewa kwa kambi ya mateso ya Buchenwald
Ujerumani imeadhimisha leo kumbukumbu ya miaka 80 tangu kukombolewa kwa iliyokuwa kambi ya mateso ya Buchenwald.
Safari ya Khadija Bhallo: Kutoka jikoni hadi mtandaoni
Mapishi ni kipaji na pia sanaa. Mji wa Mombasa umebahatika kuwa na wapishi wengi mahiri akiwemo Khadija Bhallo.
Afrika kukusanya trilioni 2 ifikapo 2030 kutokana na AI
Afrika inatarajia kupata jumla ya dola za Marekani trillion 2.9 ifikapo mwaka 2030 kutokana matumizi ya AI.
Uhumimu wa msaada wa jamii kwa wagonjwa wa usonji
Watu wenye Usonji wanahitaji huduma mbalimbali za afya na msaada wa kijamii unaoendana na mahitaji yao yanayobadilika.
Scholz: Ushuru wa Trump ni makosa makubwa
Ushuru mkubwa uliotangazwa na Rais wa Marekani Donald Trump umezusha hofu, kitisho cha kulipiza na kuiwekea Marekani ush
Zelensky ashtumu mashambulizi ya miundo mbinu ya nishati
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky asema njia ya umeme imeshambuliwa katika mji wa Nikopol huko Dnipro.
Wakuu wa Majeshi wa Magharibi waijadili Ukraine
Wakuu wa majeshi wa mataifa ya Magharibi wanatarajiwa kujadiliana uwezekano wa kutuma wanajeshi nchini Ukraine.
Sura ya Ujerumani: Mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano
Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto nchini Ujerumani yanaendelea kati ya kambi ya kihafidhina ya CDU/CSU pamoja na chama cha SPD takriban wiki sita tangu kufanyike uchaguzi. Hata hivyo bado kuna mambo mengi ambayo hadi sasa wameshindwa kuafikiana. Ungana na Bakari Ubena.
Polisi wa Ujerumani akamatwa kwa kushirikiana na mafia
Afisa huyo anadaiwa kuunga mkono 'Ndrangheta ya Calabrian katika kupanga njama ya kuweka uzio wa vyakula vya kifahari.
Faeser apongeza mafanikio ya Ujerumani kudhibiti uhamiaji
Faeser amezitaka nchi washirika zibadilishane taarifa kwa karibu zaidi kusambaratisha mtandao wa ulanguzi wa binadamu.
Polisi wa Ujerumani wayasaka magenge ya uhalifu
Makundi ya kihalifu yatumia manufaa ya kiuchumi na kijiografia kufanya matukio yasiyo halali.
Ujerumani yaionya Marekani juu ya mbinu za Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock amewasili Kiev kuonesha mshikamano kwake kwa Ukraine.
Ushuru wa Marekani wawatisha wazalishaji mvinyo Ujerumani
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuiwekea Ujerumani ushuru wa asilimia mia mbili kwa mvinyo inaoupeleka Marekani.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 01 Aprili 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 01 Aprili 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Ujerumani yasifu mafanikio dhidi ya wahamiaji haramu
Mkutano wa kilele wa Uhalifu wa Uhamiaji Uliopangwa (OIC) wafanyika mjini London, uingereza.
Uhusika wa wanawake katika uongozi wa kisiasa Uganda
Kuelekea uchaguzi mkuu ujao nchini Uganda mwaka 2026, wanawake wamejitokeza na ilani yao ambayo wangependa izingatiwe na vyama vyote vya siasa ili kuhakikisha masuala yao muhimu yanapewa kipaumbele kuwawezesha kushiriki ipasavyo katika siasa, utawala na uchumi wa nchi.
Urusi yataka EU kuiondolea vikwazo ili kurejesha makubaliano
Hayo yanajiri wakati Moscow na Kiev zikitupiana lawama kwa mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati.
Wanawake watengeneza dawa za kuua mbu nchini Kenya
Makala ya Wanawake na Maendeleo inalimulika kundi la wanawake wa nchini Kenya walioungana kuzalisha dawa ya mbu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kongo ziarani Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Thérèse Kayikwamba Wagner, amefanya ziara Afrika Kusini
Macron awakaribisha viongozi wa Ulaya kuizungumzia Ukraine
Mkutano huo unafanyika baada ya rais wa Ukraine kukubali mapema mwezi huu kuendelea na mazungumzo ya kusitisha vita
Ushuru wa Marekani watishia wazalishaji mvinyo Ujerumani
Rais wa Marekani Donald Trump ameitishia Ujerumani kwa kutoza ushuru wa asilimia 200 kwa mvinyo. Wakulima wa nchi hiyo wana wasiwasi maana soko kubwa lipo nchini Marekani, ambapo mvinyo wa Ujerumani una sifa ya kipekee kwa wateja.
Ujerumani yasaka kundi linalopanga kuiangusha Eritrea
Maafisa wa Ujerumani wanafanya misako kwenye majimbo sita inayowalenga washukiwa 17 wanaotuhumiwa kuwa wanachama wa kund
Julia Klöckner achaguliwa Spika wa Bunge la Ujerumani
Bunge jipya la Ujerumani leo limemchagua spika ambaye ni waziri wa zamani kutoka upande wa wahafidhina, Julia Klöckner.
Jopo laundwa kumaliza mzozo wa Kongo
Mkutano wa kilele Jumuiya ya SADC na ile ya Afrika Mashariki, umeunda jopo la wasuluhishi wa mzozo wa Kongo.
Utafiti: Watu weusi na waislamu hubaguliwa zaidi Ujerumani
Utafiti mpya umebaini watu Weusi na Waislamu ndio hukumbana zaidi na vitendo vya ubaguzi nchini Ujerumani.
Bunge jipya ya Ujerumani kukutana kwa mara ya kwanza
Bunge la Ujerumani Bundestag, linatarajiwa kufanya kikao chake cha kwanza leo baada ya uchaguzi wa Februari 23.
Zaidi ya waandamanaji 1,100 wako mikononi mwa polisi Uturuki
Polisi nchini Uturuki imewakamata zaidi ya watu 1,100 tangu meya wa Istanbul Ekrem Imamoglu alipokamatwa wiki iliyopita.
Ujerumani yasema vifo huko Gaza vinatia wasiwasi mkubwa
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani Christian Wagner amesema hali ya kibinadamu huko Gaza imerudi kuwa janga.
Ujerumani yakosoa hatua za Israel huko Palestina
EU: Mashambulizi ya Israel huko Lebanon na Syria yanahatarisha usalama wa eneo zima la Mashariki ya Kati.
Mtu na Mazingira: Tanzania na mradi wa Kijani Hai
Ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira nchini Tanzania, Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), wameanzisha Mradi wa Kijani Hai. Kijani Hai ni mpango ulioanzishwa 2017 nchini Tanzania na unaolenga uhifadhi wa mazingira, upandaji miti, na kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali asili.
Ujerumani yatinga nusu fainali kombe la mataifa Ulaya
Ujerumani sasa itakutana na Ureno ambayo iliikandamiza Denmark kwa jumla ya magoli 5-2 katika mchezo wa nusu fainali.
M23 waendelea kudhibiti mji wa Walikale huko DRC
Hata hivyo juhudi mbalimbali zinaendelea ili kujaribu kuutafutia suluhu mzozo huo.
Ujerumani yafuunga kwa muda ubalozi wake nchini Sudan Kusini
Serikali ya Ujerumani imetangaza kufuunga kwa muda ubalozi wake mjini Juba, nchini Sudan Kusini kufuatia machafuko.
Ujerumani yafunga ubalozi wake Sudani Kusini
Kwa sasa kuna uhusiano mbaya kati ya Rais Salva Kiir na mpinzani wake ambaye ni Makamu wa Rais Riek Machar.
Mataifa ya Ulaya: Mpango wa kusitisha vita gaza urejeshwe
Siku ya Jumanne, Israel ilianza kuishambulia Gazana kusambaratisha makubaliano ya kusitisha vita ya tangu Januari.
Togo yadhihirisha dhamira ya kujiunga na Muungano wa AES
Uanachama wa Togo katika muungano huo utawezesha ufikiaji wa bandari na pia kufufua fursa mpya za biashara.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyomulikwa na magazeti ya Ujerumani ni pamoja na mzozo wa mashariki mwa Kongo.
Ujerumani kutoa msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukaine
Hatua hiyo inajiri wakati Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump ikiwa umesitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Ujerumani yasema Urusi inacheza mchezo dhidi ya Ukraine
Urusi imekubali kusitisha kwa muda mashambulizi kwenye vituo vya nishati huku Ukraine ikitangaza kushambuliwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 154
Ukurasa unaofuatia