You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
AfD yainishwa kama kitisho cha demokraisa Ujerumani
Shirika la Ujerumani la ujasusi wa ndani limekiainisha rasmi chama cha AfD kuwa cha mrengo mkali na kukieleza kuwa tishio kwa taratibu za kidemokrasia nchini. Uamuzi huo unatoa mamlaka kwa idara husika ya kukimulika chama hicho ikiwa ni pamoja na kuwatumia makachero na mbinu zingine ili kukipeleleza.
Merz aidhinishwa na Bunge kuwa Kansela Mpya wa Ujerumani
Serikali ya mseto ya Ujerumani sasa itaongozwa na vyama ndugu vya CDU/CSU na SPD.
Merz ashinda ukansela wa Ujerumani duru ya pili bungeni
Tayari, Rais Frank-Walter Steinmeier amemuapisha rasmi kuwa kansela mpya.
Friedrich Merz ni nani, Kansela mpya wa Ujerumani?
Friedrich Merz amechaguliwa kuwa Kansela mpya wa Ujerumani baada ya mshangao wa kushindwa katika duru ya kwanza.
Merz achaguliwa Kansela wa Ujerumani baada ya sarakasi
Kiongozi wa CDU Friedrich Merz amechaguliwa kuwa Kansela wa 10 wa Ujerumani katika duru ya pili baada ya kushindwa awali
Friedrich Merz akabiliwa na kura ya pili baada ya anguko
Hata kama atafanikiwa kuwa Kansela wa 10 wa Ujerumani tangu vita, kushindwa kwake mwanzo kumetia doa kubwa.
Merz ashindwa kupitishwa na Bunge kuwa Kansela wa Ujerumani
Merz, alitarajiwa kushinda kura hiyo na alihitaji wingi wa kura 316 lakini amepata 310 pekee.
Merz ashindwa kuwa kansela duru ya kwanza ya kura bungeni
Kura nyengine inatazamiwa ndani ya kipindi cha wiki mbili, huku AfD wakitowa wito wa uchaguzi mpya.
Merz kuchukua mikoba ya Ukansela wa Ujerumani
Mwanasiasa kutoka vyama ndugu vya CDU/CSU, Friedrich Merz, anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Fredrich Merz aahidi mageuzi Ujerumani
-
CDU/CSU na SPD vyatia saini makubaliano ya kuunda serikali
Vyama vya CDU/CSU vimetia saini makubaliano ya kuunda serikali ya pamoja yanayofungua njia kwa utawala mpya.
Wanajeshi wa Afrika Kusini waingia Tanzania wakiondoka Kongo
Wanajeshi wa Afrika Kusini wanaoondolewa Kongo wameanza kuwasili Tanzania na watarejea nyumbani baadaye mwezi huu.
Hali tete usalama nchini Sudan Kusini wazidi kuzorota
Mashirika ya kimataifa yanapaza sauti juu ya hali mbaya ya usalama ya nchini Sudan Kusini
Marekani yakosoa AfD kuorodheshwa taasisi ya itikadi kali
Utawala wa Trump umeilaani hatua ya chama cha AfD Cha Ujerumani kuorodheshwa kama taasisi yenye itikadi kali.
AfD yakosoa kuorodheshwa kama taasisi yenye itikadi kali
Chama cha AfD, kimekosoa hatua ya Shirika la Ujasusi la Ujerumani kukiorodhesha kama taasisi yenye itikadi kali.
AFD yaorodheshwa kuwa taasisi inayofuata itikadi kali
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani amesema AFD imekuwa na tabia ya kuwatazama watu kwa asili na historia zao.
Ujerumani yaiorodhesha AfD kuwa taasisi yenye itikadi kali
Shirika la ndani la Ujasusi la Ujerumani limekiainisha chama cha AfD uwa taasisi inayofuata itikadi kali.
Taaluma yako inaweza kulinda afya ya jamii?
Faraja kama lilivyo jina lake, anayo ari na dhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko katika jamii kupitia elimu ya afya. Akiwa mwanafunzi wa udaktari, ametumia maarifa anayoyapata chuoni kuelimisha jamii kuhusu magonjwa yasiyo ya kuambukiza ambayo yanachangia idadi kubwa ya vifo vya watu duniani.
02.05.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa habari unazoweza kuzisikia asubuhi hii ni Rais Donald Trump kumteua mshauri wake wa usalama wa taifa kuwa balozi kwenye Umoja wa Mataifa | Kiongozi wa Kiroho wa Jamii ya Druze alaani mashambulizi dhidi ya jamii hiyo na kutaka uingiliaji wa kimataifa | Na China yasema inatathmini pendekezo la Marekani la mazungumzo kuhusu ushuru huku ikisisitiza uaminifu.
Kiongozi wa Jamii ya Druze alaani mashambulizi dhidi yao
Ghasia hizo zinaleta changamoto kwa mamlaka zya Syria iliyomuondoa madarakani mtawala wa muda mrefu Bashar al-Assad.
Israel yawashambulia wapiganaji wanaowalenga jamii ya Druze
Israel imekuwa ikiisaidia mara kwa mara jamii hiyo ya Druze ambayo wamekuwa msaada kwao na wanauonganishwa kihistoria.
Biashara ya maziwa ya wanawake wa Nandi nchini Kenya
Wanawake wa eneo la Nandi wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuja pamoja na kuimarisha biashara yao ya maziwa.
Iran yashutumu vitisho vya Ufaransa juu ya kurejesha vikwazo
Sehemu ya barua hiyo iliyochapishwa na shirika la habari la Iran imeeleza kuwa, nchi hiyo kamwe haitakubali vitisho.
SPD yaidhinisha makubaliano na muungano wa CDU/CSU
Merz anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Kansela mnamo Mei 6 katika kikao cha bunge la Ujerumani, Bundestag.
SPD yaidhinisha kuingia serikali mpya ya mseto Ujerumani
Kansela mpya kupitishwa bungeni tarehe 6 Mei na serikali mpya kuanza kazi kwa Muungano Mkuu wa SPD na CDU-CSU.
Merz atangaza baadhi ya mawaziri wa serikali ijayo
Chama cha SPD kinatarajiwa wiki hii kutangaza majina ya mawaziri wake.
Merz akaribia kushika usukani wa kuiongoza Ujerumani
Muungano wa serikali ya Merz unatarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi, kuimarisha matumizi ya ulinzi.
Tatizo la kuziba pumzi usingizini
Je, Unajikuta Unachoka Sana Asubuhi? Unakoroma sana usiku? Unapumua kwa shida usingizini au kuamka ukikosa hewa? Hii inaweza kuwa dalili ya tatizo hatari lijulikanalo kama Obstructive Sleep Apnea — ambapo njia ya hewa huzibwa wakati wa usingizi bila wewe kujua! Mengi zaidi kwenye video hii ya afya.
27.04.2025 - Matangazo ya Jioni
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni Aprili 27, 2025 moja kwa moja kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
27.04.2025 - Matangazo ya mchana
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Mchana Aprili 27, 2025 moja kwa moja kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Kongo na Rwanda kutia saini makubaliano ya amani
Kongo na Rwanda pia zitatia saini makubaliano ya maendeleo ya kiuchumi mjini Washington.
Iran yapendekeza mazungumzo ya nyuklia na nchi za Ulaya
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araqchi amesema yuko tayari kuelekea Ujerumani, Ufaransa na Uingereza kwa m
Kenya na China katika mkakati wa maendeleo endelevu
China na Kenya zaboresha uhusiano kati ya 'hali ya misukosuko ya kimataifa'
24.04.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Maelfu ya watu kuendelea kutoa heshima zao za mwisho kwa Papa Francis hii leo++Serikali ya Kongo na M23 zatoa ahadi ya pamoja ya kusitisha mapigano++ na Rais Donald Trump wa Marekani amtupia lawama rais wa Ukraine kwa kukataa kukubali kulipoteza eneo la Crimea ili kumaliza vita.
Polisi wa Ujerumani wawasaka washukiwa wa mauaji ya Nauheim
Vikosi maalumu vimetumwa pamoja na magari ya huduma za dharura na helikopta ya polisi
20.04.2025 Matangazo ya Jioni
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni Aprili 20, 2025 moja kwa moja kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
20.04.2025 Matangazo ya Mchana
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Mchana Aprili 20, 2025 moja kwa moja kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Polisi ya Ujerumani yaanzisha msako baada watu kuuwawa
Polisi ya Ujerumani yaanzisha msako baada watu wawili kupigwa risasi
19.04.2025 Matangazo ya Jioni
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni Aprili 19, 2025 moja kwa moja kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
19.04.2025 Matangazo ya Mchana
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Mchana Aprili 19, 2025 moja kwa moja kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
13.04.2025 Matangazo ya Jioni
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 13 Aprili 2025 moja kwa moja kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Kikosi cha SAMIDRC kwenda Tanzania kupitia Rwanda
Kikosi hicho cha SADC kilipelekwa nchini Kongo kwa ajili ya kuisaidia serikali ya Kinshasa kupambana na makundi ya waasi
Mkuu wa IAEA Rafael Grossi afanya ziara mjini Tehran
Grossi akiahidi kusaidia kuuwezesha mchakato wa mazungumzo kati ya Iran na Marekani.
Rwanda na PSG zarefusha ushirikiano wao hadi mwaka 2028
Timu ya PSG huchapisha kwenye fulana za wachezaji maneno ya: "Visit Rwanda".
Umoja wa Ulaya na Uingereza kuongeza ufadhili kwa Sudan
Umoja wa Ulaya na Uingereza kuongeza ufadhili kwa Sudan
Ujerumani haina ugonjwa wa mdomo na miguu
Hivi karibuni, maambukizi ya ugonjwa wa mdomo na miguu yamegunduliwa katika mifugo nchini Slovakia na Hungary.
Wahalifu 234 wamekamatwa baada ya msako mkubwa barani Ulaya
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki, Ali Yerlikaya, amesema wahalifu zaidi ya 200 wa magenge ya uhalifu wamekamatwa
Kenya kupanua mahusiano ya biashara kulinda uchumi
Serikali ya Kenya yapanga kufanya mashauriano mapana na Marekani Washington kuishawishi iondoe ushuru.
Urusi: Shambulio lililenga wanajeshi wa Ukraine
Urusi imesema mashambulizi yake dhidi ya eneo la Sumy Ukraine yalilenga mkusanyiko wa kundi la wanajeshi wa Ukraine.
Israel yaikosoa wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani
Mashambulizi ya Israel yailenga hospitali Gaza
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 154
Ukurasa unaofuatia