You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
ASEAN yajadili ushirikiano wa kibiashara na usalama
ASEAN, GCC na China wajadili ushirikiano wa kiuchumi na changamoto za kijiografia.
Jamii ya LGBTQ inaishi kwa hofu, Uganda
Hatari hiyo imejitokeza tangu Uganda ilipopitisha sheria kali ya kupinga ushoga miaka miwili iliyopita.
Ujerumani yaikosoa Israel kwa vita vyake huko Gaza
Jeshi la Israel latoa agizo jipya la watu kuhama kutoka katika eneo la kusini mwa mji wa Khan Yunis
Merz asema matendo ya Israel Gaza 'hayana tena uhalali'
Merz anaungana na viongozi kadhaa wa Ulaya walioonyesha kuchochwa na mauaji ya raia yasiokoma katika Ukanda wa Gaza.
Uganda yasitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Ujerumani
Awali jeshi la Uganda lilizishutumu baadhi ya balozi za Ulaya kuunga mkono makundi hasi na ya kisaliti.
Jeshi Uganda lasitisha ushirikiano na Ujerumani
UPDF yamthumu Balozi wa Ujeruma Mathias Schauer kuchochea uas. Ujerumani yasema tuhuma hizo hazina ukweli wowote.
Ujerumani yasaka kuungwa mkono EU bajeti ya ulinzi NATO
Kansela Friedric Merz anaizuru Finland huku waziri wake wa mambo ya nje Johann Wadephul akizitembelea Hispania na Ureno.
Sheria mpya kuzuia jamaa za wakimbizi kuja Ujerumani
Serikali inaazimia kuziba kwa kiasi kikubwa mianya inayowawezesha watu kuingia nchini Ujerumani kwa urahisi
Sheria mpya kuzuia familia kuungana Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Alexander Dobrindt amesema ya uhamiaji nchini Ujerumani imebadilika.
Usafiri wa reli warejea kawaida baada ya shambulio Hamburg
Polisi mjini Hamburg wamesema shughuli za usafiri wa reli zimerejea kawaida mjini Hamburg baada ya shambulio la kisu.
Marsabit na juhudi za kutunza utamaduni wa jamii za wafugaji
Katika miaka ya hivi karibuni jamii nyingi za Kenya zimeonekana kuanza kuachana na utamaduni wao wa jadi.
Uchumi wa Ujerumani kutoongezeka kwa mwaka 2025
Lakini kuna matumaini kwamba mpango mpya wa kifedha unaweza kusaidia kuufufua uchumi huo kuanzia mwaka ujao.
Wataalamu watabiri uchumi wa Ujerumani hautakua mwaka 2025
Hata hivyo, wana matumaini kuwa mpango mpya wa kifedha unaweza kusaidia kuufufua uchumi huo kuanzia mwaka ujao.
Ujerumani na Nigeria zikubaliana kuimarisha ushirikiano
Berlin inaiona Nigeria kama mshirika muhimu katika ukanda mzima wa Afrika Magharibi.
Israel na viongozi duniani walaani shambulizi la Washington
Israel kuimarishwa usalama katika balozi zake zote ulimwenguni kufuatia mauaji ya raia wake mjini Washington.
Israel yazidi kukabiliwa na mbinyo wa kimataifa kuhusu Gaza
Papa Leo XIV ameongeza sauti yake miongoni mwa walioguswa na janga hili na kutoa wito wa kuruhusu misaada.
Ujerumani yawakamata vijana wa siasa kali za mrengo wa kulia
Washukiwa hao ni wavulana walioanzisha kundi linalojiita "wimbi la mwisho la ulinzi" la kulinda "taifa la Ujerumani".
Ujerumani yawatia nguvuni vijana waliopanga mashambulizi
Polisi ya Ujerumani leo imewakamata vijana watano wanaotuhumiwa kuanzisha kundi la wanamgambo la siasa kali za mrengo wa
Reichsbürger: Vuguvugu lililo na msimamo mkali Ujerumani
Vuguvugu la Reichsbürger la nchini Ujerumani, ni muungano wa makundi kadhaa na watu binafsi yenye msimamo mkali yasiyoitambua serikali ya Ujerumani. Vuguvugu hili linalodai utawala wa Kifalme, lilianzishwa rasmi mwaka 1980.
Uhalifu wa kisiasa waongezeka Ujerumani
Ofisi ya Polisi ya Shirikisho ya Kupambana na Uhalifu Ujerumani imesema Uhalifu wa kisiasa umeongezeka Ujerumani.
Utafiti: Itikadi kali bado tishio katika jeshi la Ujerumani
Uchunguzi wa ndani kuhusu mitazamo mikali ndani ya jeshi la Ujerumani umebaini kuwa hakuna msimamo mkali wa kimfumo.
Ujerumani: China ina "jukumu muhimu la amani ya kimataifa"
Wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani imesema vita vya Urusi nchini Ukraine vinaathiri maslahi ya msingi ya bara Ulaya.
Kansela Merz wa Ujerumani yuko ziarani Italia leo
Viongozi hao wawili watakutana kwa mazungumzo katika makazi rasmi ya waziri mkuu ya Palazzo Chigi.
Baerbock aapa kuwa mpatanishi kuliongoza Baraza Kuu la UN
Waziri wa zamani wa mambo ya kigeni wa Ujerumani Annalena Baerbock ameapa kuhakikisha "mitazamo ya maeneo na makundi yot
Merz atilia shaka marufuku ya vyama vya siasa kama AfD
Idara ya ulinzi wa katiba ya Ujerumani BfV ilikuwa imeiorodhesha AfD kuwa kundi linalotishia demokrasia.
Kansela Merz atilia shaka miito ya kukipiga marufuku AfD
Shirika la ujasusi la Ujerumani limekiorodhesha kuwa chama kilichothibitishwa cha msimamo mkali wa mrengo wa kulia.
Kansela wa Ujerumani aapa kuuimarisha tena uchumi
Merz na serikali yake mpya wanakabiliwa na changamoto kubwa ya uchumi.
Wakulima wa parachichi Kenya wanufaika na uvumbuzi mpya
Uvumbuzi huo umeyabadili maisha ya wakulima wa Meru ambao nondo walikuwa wakivamia maparachichi na kusababisha hasara.
Marekani na Saudia zatia saini mikataba mingi ya ushirikiano
Rais Donald Trump ametialiana saini mikataba chungunzima ya ushirikiano na Saudi Arabia mjini Riyadh.
Kansela Merz amkaribisha Waziri Mkuu wa Ugiriki Mitsotakis
Kansela mpya wa Ujerumani, Friedrich Merz, amemkaribisha Waziri Mkuu wa Ugiriki, Kyriakos Mitsotakis, mjini Berlin.
Ujerumani yalipiga marufuku kundi la itikadi kali
Mamlaka nchini Ujerumani zimetangaza leo kulipiga marufuku kundi la itikadi kali linalojiita "Ufalme wa Ujerumani".
Mataifa ya Ulaya yatishia kuongeza vikwazo dhidi ya Urusi
Viongozi wa Ulaya watoa wito wa kuongeza shinikizo kwa Urusi ili ishiriki mazungumzo ya kidiplomasia kusitisha mapigano.
Ujerumani yakumbwa na mgawanyiko kuhusu chama cha AfD
Kuna wasiwasi unaozidi kuongezeka nchini Ujerumani kuwa jamii inazidi kugawanyika hasa kuhusiana na chama cha AfD.
Ujerumani na Israel: Maadhimisho chini ya kivuli cha vita
Ujerumani na Israel zinaadhimisha miaka 60 tangu kuanzisha uhusiano baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, UK, Poland ziarani Ukraine
Viongozi hao wamesema wanaunga mkono mpango wa amani wa rais wa Marekani Donald Trump.
Ukraine: Tupo tayari kusitisha mapigano kwa siku 30
Ukraine imesema iko tayari kwa usitishaji mapigano na Urusi kwa muda wa siku 30 kuanzia siku ya Jumatatu.
Dunia yaadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita Kuu ya Pili
Dunia leo inaadhimisha miaka 80 tangu kumalizika kwa vita vya Pili vya Dunia vilivyodumu kwa muda mwa miaka 6.
Ujerumani yasitisha lebo ya itikadi kali dhidi ya AfD
Idara ya ulinzi wa katiba ya Ujeurumani, BfV iliiorodhesha AfD kuwa chama cha itikadi kali na tishio kwa demokrasia.
Waziri Mjerumani-Mtanzania ajiuzulu wadhifa wake
Mwanasiasa wa chama cha Christian Democratic Union, CDU, na mwenye asili ya Tanzania Joe Chialo, ambaye alikuwa waziri wa utamaduni na masuala ya kijamii wa jimbo la Berlin amejiuzulu wadhifa wake baada ya kutumikia kwa zaidi ya miaka mitatu. Hawa Bihoga amemuuliza sababu ya kijiuzulu?
Kwanini juhudi za EU kujitenga na gesi ya Urusi ni ngumu?
Tume ya Ulaya imetangaza mpango kumaliza utegemezi wa mafuta ya kisukuku kutoka Urusi ifikapo mwaka 2027.
Ulaya yaadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita Kuu ya Pili
Ulaya imeadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita vya Pili vya Dunia, chini ya kivuli cha vita vinavyoendelea Ukraine.
Ufaransa na Ujerumani zaahidi kushirikiana katika ulinzi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Kansela mpya wa Ujerumani Friedrich Merz wameahidi kuongeza ushirikiano wa ulinzi.
Ujerumani, Ufaransa kuanzisha baraza la pamoja la usalama
Ujerumani na Ufaransa zimekubaliana kuunda baraza la pamoja la ulinzi na usalama.
Kwanini Joe Chialo seneta wa Ujerumani aliye na mizizi Tanzania alijiuzulu?
Mwanasiasa wa chama cha Christian Democratic Union, CDU, Joe Chialo, ambaye alikuwa waziri wa utamaduni na masuala ya kijamii wa jimbo la Berlin amejiuzulu wadhifa wake baada ya kutumikia kwa zaidi ya miaka mitatu. Hawa Bihoga amezungumza na mwanasiasa huyo mwenye asili ya Tanzania na kwanza alitaka kujua sababu kuu ya kujiuzulu kwake.
Merkel: Ni vyema Papa ajaye akafuata mkondo wa Papa Francis
Kansela mstaafu wa Ujerumani Angela Merkel anasema anatarajia kuwa kiongozi ajaye wa Kanisa Katoliki ataendelea kuufuata
Ujerumani bado haina sikukuu rasmi ya Mei 8
Miaka 80 baadae, Ujerumani bado imegawika katika suala la kuifanya Mei 8 kuwa sikukuu rasmi ya kitaifa kwa ajili ya kuad
Kansela wa Ujerumani ana wasiwasi kuhusu Gaza
Kansela mpya wa Ujerumani ana wasiwasi kuhusu mipango ya misaada Gaza.
Merz afanya ziara ya kwanza Ufaransa na Poland
Kansela mpya wa Ujerumani Friedrich Merz anafanya ziara yake ya kwanza knchini Ufaransa na kisha ataelekea Poland.
Friedrich Merz aapishwa kuwa Kansela wa Ujerumani
Friedrich Merz sasa ndiye kansela mpya wa Ujerumani, baada ya jioni ya kupitishwa kwa kura 325 bungeni.
Merz achukua mikoba ya Kansela wa Ujerumani
Mwanasiasa wa kihafidhina Friedrich Merz ameapishwa jana jioni kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 154
Ukurasa unaofuatia