You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Araghchi awasili Istanbul kushiriki mkutano wa OIC
Mkutano wa OIC unafanyika katika muktadha wa mzozo unaoendelea kati ya Iran na Israel.
Nchi za Kiislamu zajadili mzozo kati ya Israel na Iran
Mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu (OIC) unafanyika Istanbul Jumamosi hii.
Israel-Iran: Ujerumani na Ufaransa zahimiza diplomasia
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa likitarajiwa kukutana kwa mara pili kujadili mzozo wa Israel na Iran.
Chuki dhidi ya Uislamu yaongezeka Ujerumani
Katika ripoti yake ya mwaka, Muungano wa CLAIM ulirekodi visa 3,080 vya chuki dhidi ya Uislamu mwaka 2024.
Putin aionya Ujerumani kuipatia Ukraine makombora ya Taurus
Rais Vladimir Putin wa Urusi ameionya Ujerumani kuhusiana na mipango ya kuipatia Ukraine makombora ya Taurus.
Viongozi wa China, Asia ya kati wakubaliana kushirikiana
Viongozi wa China na Asia ya Kati wametia saini mkataba wa ujirani mwema na ushirikiano.
Ujerumani yamhukumu Daktari wa Syria aliyewatesa wapinzani
Ujerumani imewashitaki wafuasi kadhaa wa Assad chini ya kanuni ya "mamlaka ya kimataifa".
Kenya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia kidijitali
Kenya yazindua kampeni ya kidijitali kupambana na ongezeko la unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.
Viongozi wa G7 wawasili Canada kwa mkutano wa kilele
Mkutano huo wa siku tatu wa viongozi wa kundi la G7 unatarajiwa kugubikwa na mzozo wa mashariki ya kati.
Ujerumani yaadhimisha Siku ya Mashujaa kwa wanajeshi wote
Siku ya Mashujaa itaadhimishwa Juni 15 kila mwaka wikendi iliyotangulia au baada ya siku hii.
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani atua Mashariki ya Kati
. Wadephul amewasili mji mkuu wa Saudi Arabia wa Riyadh na kukutana na waziri wa mambo ya nje Faisal bin Farhan.
Mpishi wa Visinia aliyeacha kazi benki
Sikiliza makala ya wanawake na maendeleo inayomuangazia mwanamke aliyethubutu kuacha kazi benki na kugeukia upishi hasa wa visinia katika mkoa wa Mtwara huko Tanzania. Salma Mkalibala ndiye aliyeandaa makala hii.
Ujerumani yaimarisha ulinzi wa taasisi za Kiyahudi
Ujerumani inaimarisha ulinzi kwa taasisi za Israel na Kiyahudi kufuatia shambulizi la Israel kwa Iran. Haya yamesemwa na
Pistorius akataa Ujerumani kubadili sera kuelekea Urusi
Pistorius amekataa wito kutoka wenzake wa SPD wanaoitaka serikali ya Ujerumani kurekebisha sera yake kuelekea Urusi.
Ujerumani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, amewasili mjini Kyiv, kujadili msaada zaidi kwa Ukraine.
Urusi yazidi kuishambulia Ukraine
Ujerumani yataka kujadili namna ya kuiongezea silaha Ukraine katika ziara ya waziri wake wa ulinzi, Pistorius
Uchumi wa Ujerumani kukuwa kwa miaka miwili mfululizo
Uchumi wa Ujerumani unatarajiwa kukuwa kwa mwaka 2025 na mwaka 2026.
Manunuzi ya Ujerumani kwa Urusi yapungua kwa 95%
Bidhaa inazonunua Ujerumani kutoka Urusi zilipungua kwa asilimia 94.6 hiyo ikiwa ni dola bilioni 2.05 tu mwaka 2024 ikil
Sane asafiri na Bayern licha ya atiati kuhusu mkataba wake
Winga wa mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich, Leroy Sane, atasafiri na klabu hiyo kuelekea Marekani kwa mashindano ya Ko
Ujerumani iliwapa uraia wageni wengi mwaka 2024
Ujerumani iliweka rekodi katika historia yake kwa kuwapa watu wengi uraia mwaka 2024 kukiwa na ongezeko la asilimia 46.
Nagelsmann: Malengo ya Kombe la Dunia Hayabadiliki
Nagelsmann akataa kubadilisha malengo ya matarajio kubeba ya Kombe la Dunia.
Friedrich Merz aleta mtindo mpya wa siasa nchini Ujerumani
Ziara ya Merz mjini Washington imesifiwa kama mtindo mpya wa siasa nchini Ujerumani.
Ujerumani yacharazwa 2-0 na Ufaransa
Ureno na Uhispania zitakutana kwenye mchezo wa fainali mjini Munich.
Wakimbizi waliokataliwa kuingia Ujerumani warejeshwa Berlin
Raia watatu wa Somalia waliokataliwa kuingia Ujerumani katika mpaka wake na Poland, sasa wapo katika mji mkuu Berlin.
Ujerumani hatarini kuendelea na mdodoro wa uchumi
Ujerumani hatarini kuendelea na mdodoro wa uchumi
Kansela wa Ujerumani asifu mazungumzo yake na Trump
Kansela wa Ujerumani asifu mazungumzo yake na Trump
Merz aonya ushuru wa Trump kuuathiri uchumi wa Ujerumani
Merz amekutana na Trump na kuonya juu ya athari za ushuru wa Trump kwa sekta ya magari ya Ujerumani.
Kansela Merz asema ameridhika na mazungumzo na Trump
Mazungumzo baina ya Merz na Trump yamegusia masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na vita vya Ukraine na ushuru
Kansela wa Ujerumani kukutana na Trump licha ya tofauti zao
Kansela Merz ana matumaini ya kujenga uhusiano wa kibinafsi na Rais wa Marekani Donald Trump, Je atafaulu?
Taasisi ya GHF kufungua tena vituo vyake Gaza
Jeshi la Israel limerejesha nchini miili ya mateka wawili kutoka Gaza
Kim Jong Un aapa kuendelea kuisaidia Urusi "bila masharti"
Urusi na Korea Kaskazini zilitia saini makubaliano mapana ya kijeshi mwaka jana, ikiwa ni pamoja na kifungu cha ulinzi.
Polisi Ujerumani ina wasiwasi kuhusu waomba hifadhi
Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, ametetea sana sera mpya ya uhamiaji.
Ujerumani, Uingereza kuongoza mkutano wa msaada kwa Ukraine
Mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa NATO kuhusu Ukraine kufanyika kesho mjini Ubelgiji
Mabomu matatu ya Vita Kuu Pili ya Dunia yagundulika Cologne
Zoezi hilo la watu kuondoka katika makaazi yao ni mojawapo ya zoezi kubwa zaidi katika miaka ya hivi karibuni.
Mhafidhina Narowcki ndiye rais mpya wa Poland
Mhafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa Poland kwa tofauti ndogo ya kura na sasa yeye ndiye rais mpya wa taifa h
AfDB yamchagua Sidi Ould Tah kuwa rais wake mpya
Tah ametwikwa jukumu la kuiongoza taasisi hiyo kubwa ya kifedha Afrika, wakati ikikabiliwa na changamoto chungu nzima.
Polisi kumwagwa Paris kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa
Ufaransa itawatuma maafisa zaidi ya elfu tano katika mitaa ya Mji Mkuu Paris Jumamosi kwa ajili ya fainali ya Ligi ya Vi
Sidi Ould Tah achaguliwa kuwa rais mpya wa AfDB
Sidi Ould Tah anavhukua nafasi ya rais wa sasa wa benki hiyo Akinwumi Adesina atakaemaliza muda wake mwezi Septemba.
Wadephul: Ujerumani yajitolea kwa usalama wa Israel
Mwanadiplomasia wa Ujerumani Johann Wadephul aitambua kuzorota kwa hali ya kibinaadamu katika Ukanda wa Gaza
Ujerumani yasitisha kuunganishwa kwa familia za wakimbizi
Serikali ya Ujerumani imesitisha mpango wa kuunganishwa kwa familia za wakimbizi, hasa wale wanaotokea Syria.
Wanadiplomasia wa Ujerumani, Marekani wakutana Washington
Mazungumzo yao yamegusia mizozo ya Ukraine na Mashariki ya Kati, ushirikiano wa kiusalama, na mpango wa nyuklia wa Iran
Namibia yafanya kumbukumbu ya kwanza ya mauaji ya kimbari
Ujerumani ilikubali dhima ya mauaji hayo na kuahidi kuipatia Namibia kiasi cha euro bilioni 1.1 za maendeleo.
Merz: Ujerumani, Ukraine zitaunda makombora ya masafa marefu
Merz amesema mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili watasaini muafaka wa maelewano kwa ajili ya mpango huo.
Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine
Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine
Zelensky yuko Ujerumani kujadili na Merz vita vya Ukraine
Zelensky aliwasili mjini Berlin Alhamisi na kukaribishwa kwa heshima ya gwaride la kijeshi katika ofisi za Kansela Merz.
Wadephul ataka ushirikiano na Marekani dhidi ya Urusi
Wadephul ametowa wito wa Ulaya na Marekani kushirikiana dhidi ya Urusi
Ujerumani, Finland zashinikiza misaada kuingia Gaza
Kansela Friderich Merz na Wazir Mkuu Petteri Orpo wameyasema hayo walipokutana pembezoni mwa mkutano wa Nordic.
Benki ya AfDB kuchagua rais mpya
-
Kansela Merz aikosoa Israel kwa inachofanya Gaza
-
Ujerumani yatishia hatua dhidi ya Israel kuhusiana na Gaza
Merz amebainisha kuwa bado hakuna uamuzi wa mwisho kuhusu uhusiano wa kijeshi na Israel.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 154
Ukurasa unaofuatia