You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Merz, Mfalme Abdullah wajadili udondoshaji msaada Gaza
Mazungumzo ya Merz na Mfalme Abdullah yamejikita pia katika kuleta suluhisho la kudumu kanda ya Mashariki ya Kati.
Ujerumani, Ufaransa, Uingereza kupeleka mawaziri wake Gaza
Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zinafikiria kuwapeleka mawaziri wake wa kigeni kwenye Ukanda wa Gaza wiki ijayo.
IMF yatabiri ongezeko la ukuaji wa uchumi duniani
Shirika la Fedha la Umoja wa Mataifa IMF limetabiri utongezeko katika ukuaji wa uchumi duniani.
Ujerumani haiko tayari kuitambua Palestina kama dola huru
Ujerumani haitatambua taifa la Palestina kwa sasa, hata kama inaunga mkono suluhisho la mataifa mawili.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 28 Julai 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 28 Julai 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Afrika Kusini yapokea mkopo wa €500 milioni kutoka Ujerumani
Mkopo wa euro milioni 500 kutoka benki ya maendeleo inayomilikiwa na serikali ya Ujerumani kutolewa kwa Afrika Kusini.
Nchi za Ghuba zapongeza uamzi wa Macron kuitambua Palestina
Ujerumani ambayo ni mwanacha wa kundi la G7 imesema haina mpango wa kuitambua Palestina kama dola huru.
Iran: Tumekuwa na mazungumzo ya wazi na mataifa ya Ulaya
Jamhuri hiyo ya kiislamu imesisitiza kuwa haiwezi kamwe kuachana na mpango wake wa nyuklia.
Trump atangaza mkataba mkubwa wa kibiashara na Japan
Japan imesema mkataba huo utapunguza ushuru wa kupeleka magari nchini Marekani.
Ubunifu wa jeshi la Ujerumani wakosolewa
Kampuni changa za teknolojia za jeshi la Ujerumani zinazidi kukua huku zikikabiliwa na mashinikizo kadhaa ikiwemo uidhinishwaji wa malengo pamoja na kuongezeka kwa mvutano wa kimataifa. Je, zitahimili kufikia malengo na kuweza kutawala soko?
Ufaransa na Ujerumani walenga kusitisha tofauti zao
Merz na Macron wasisitiza umuhimu wa ushirikiano katika nyakati hizi ngumu za kisiasa duniani.
Merz na Macron kusuluhisha tofauti zao Agosti
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron usiku wa kuamkia leo wamekubaliana kujaribu kusu
Ujerumani yashindwa kufuzu fainali ya Ulaya
Timu ya taifa ya kandanda ya Ujerumani imeshindwa kufuzu kwenye fainali ya mashindano ya kuwania ubingwa wa Ulaya baada
Ujerumani yakabiliwa na shinikizo kuchukua msimamo Gaza
Je, kwanini Kansela Merz amejizuia hadi sasa kuitikia mwito huo? Saumu Mwasimba anazungumza na Abdullah Salum Mzee.
Mzozo wa Sweida na sura zake kijamii, kisiasa na kimataifa
Mzozo unatokota kati ya jamii ya Bedoui na Druze katika mkoa wa Sweida kusini mwa Syria unazidi kuchukua sura anuwai.
Syria yaiomba Uturuki msaada wa kuimarisha ulinzi wake
Kwa muda mrefu Uturuki imekuwa ikidhihirisha nia yake ya kuisaidia Syria.
Merz na Macron kukutana na kujadili masuala mbalimbali
Merz amekuwa akisisitiza umuhimu wa mahusiano bora kati ya Ujerumani na Ufaransa.
Italia na Algeria zakubaliana kupambana na ugaidi, uhamiaji
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na Rais wa Algeria Abdelmajid Tebboune wameshiriki mkutano huo.
Merz atakiwa kuchukua msimamo dhidi ya Israel
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anazidi kukabiliwa na shinikizo la kumtaka achukuwe msimamo mkali dhidi ya Israel. Je kwanini Merz amejizuia hadi sasa kuitikia mwito huo? Abdullah Salum Mzee ni mchambuzi wa siasa za Ujerumani.
Ujerumani yawarudisha kwao raia 43 wa Iraq
Wairaq wote 43 hawajaoa na baadhi yao wamewahi kutiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu.
Merz akabiliwa na shinikizo kuhusu msimamo wake kwa Israel
Ujerumani imejitenga na tamko kali la nchi za Magharibi kuhusu "mauaji ya kinyama" ya Wapalestina katika ukanda wa Gaza.
Mpango wa 'Elimu haina mwisho' kwa wasichana
Elimu haina mwisho, ni mradi maalum wa kuwasaidia wasichana Tanzania, ambao hawajamaliza kidato cha nne, waliositisha masomo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ya kupata ujauzito, ufukara ndani ya familia au kuugua kwa muda mrefu. Mradi huu unaratibiwa na Wizara ya Elimu nchini humo.
Iran yaonya kuhusu kurudishwa vikwazo vya UN
-
Wajumbe wa Taliban wako Ujerumani kuratibu safari za ndege
Wajumbe wa Taliban waliwasili mjini Berlin wikendi iliyopita.
Ujerumani isiyo na mabeki kukabiliana na Uhispania
Beki wa timu ya taifa ya kina dada ya Ujerumani, Sarai Linder, hatoshiriki mechi ya nusu fainali Ujerumani itakapocheza
Miili ya waliouawa yashuhudiwa Sweida, utulivu warejea
Hali mjini Sweida nchini Syria sasa imeripotiwa kutulia baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa.
Iran yathibitisha kurejea kwenye meza ya mazungumzo
Ujerumani imesema Iran haitakiwi kabisa kuruhusiwa kutengeneza bomu la nyuklia
E3 yajiandaa kwa mazungumzo ya nyuklia na Iran
Iran na Marekani zilifanya duru kadhaa za mazungumzo kabla Israel kuanzisha mashambulizi yake ya siku 12 nchini Iran.
EU yapongeza hatua ya usitishwaji mapigano Syria
Idadi ya vifo kutokana na makabiliano hayo yaliyoanza mwishoni mwa wiki iliyopita sasa imefikia watu 940.
Syria yatangaza usitishwaji mapigano katika jimbo la Sweida
Vikosi vya Syria vimeanza kutumwa katika jimbo la Sweida kwa lengo la kuwalinda raia.
Vikosi vya serikali ya Syria vyajiandaa kurejea Sweida
Mapigano mapya yamezuka kati ya wanamgambo wa jamii ya Druze na wale wa Kibedui.
Uingereza na Ujerumani wasaini mkataba wa kuimarisha ulinzi
Uingereza na Ujerumani wasaini mkataba wa hihistoria kuimarisha ushirikiano na ulinzi.
Turk ahimiza uwajibikaji katika mauwaji ya Sweida
Turk, atoa wito kwa mamlaka za Syria kuhakikisha uwajibikaji na haki kwa mauaji katika jimbo la Sweida, Syria.
Ujerumani yahamisha "wahalifu wa kigeni"
Ujerumani imethibitisha kuwarudisha kwao raia 81 wa Afghanistan waliopatikana na hatia ya jinai.
Ujerumani, Uingereza kushirikiana zaidi kimkakati
Merz amekutana na mwenyeji wake Waziri Mkuu Keir Starmer, na kusaini makubaliano ya ushirikiano katika nyanja tofauti.
Wahamiaji Ujerumani wapata viwango vidogo vya mshahara
Kizazi cha pili cha wahamiaji ni watu ambao wamezaliwa katika nchi ambayo wazazi wao walihamia
Kuyumba kwa uchumi kunahatarisha malengo ya maendeleo 2030
Marekani imewakilishwa na naibu waziri wa masuala ya kimataifa badala ya waziri wa fedha.
Zaidi ya watu 500 wauawa Sweida, serikali yajiondoa
Syria inaendelea kukumbwa na changamoto za kiusalama, hatari ya mpasuko wa kitaifa na vitisho kutoka jirani yake Israel.
Ujerumani na Uingereza zasaini mkataba wa ushirikiano
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema mkataba huo ni wa kihistoria.
Ujerumani yatoa wito uthabiti wa Syria usiyumbishwe
Israel imefanya mashambulizi Syria kwa nia ya kuwalinda watu wa jamii ya Druze
Xi airai Jumuiya ya Shanghai kuimarisha ushirikiano
Rais Xi Jinping ameirai Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, kuimarisha mifumo ya kushughulikia vitisho vya kiusalama.
Ujerumani kutoa mchango euro milioni 10 kwa Benki ya Dunia
Mawaziri wa fedha wa nchi za G20 wanakutana kwa siku mbili mjini Durban, Afrika Kusini.
Ujerumani yaipa Tanzania bilioni 78 kusaidia miradi ya maji
Msaada huo utawezesha wataalamu katika maeneo hayo kupata mbinu na uwezo mpya wa kuendeleza utalii na uhifadhi
Nchi tatu za Ulaya zatishia kurejesha vikwazo kwa Iran
Iran imejibu kwa kusema haitorejea kwenye mazungumzo na Marekani kama hakuna hakikisho kuwa hitashambuliwa tena
China yaahidi kuendelea kuisaidia Urusi
Rais wa China, Xi Jinping, ameahidi kuendelea kuisaidia Urusi.
XI: Jumuiya ya SCO yapania kujenga diplomasia ya ujirani
Xi akutana na mawaziri wa mambo ya nje pamoja na wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai.
Washirika ´kuimwagia´ Ukraine zana zaidi za kijeshi
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amefanya ziara nchini Marekani kujadili msaada zaidi kwa Ukraine.
AfD yabadili mtindo ili kupunguza matamko makali
Chama hicho pia kwenye sera yake kimeliondoa neno kuwafukuza wahamiaji Je ni kwa nini kimeamua kubadili mwenendo wake?
Boris Pistorius afanya ziara fupi Marekani kuijadili Ukraine
Mazungumzo hayo yanafanyika baada ya Ujerumani kujitolea kuipa Ukraine mifumo ya ulinzi wa anga aina ya Patriot.
Iran iko tayari kwa diplomasia na nchi za magharibi
Mkuu wa ofisi ya Rais wa Iran Mohammad Jafar Qaempanah, amesema serikali nchini humo ipo tayari kwa diplomasia.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 154
Ukurasa unaofuatia