You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mshukiwa wa milipuko ya mabomba ya Nord Stream akamatwa
Uharibifu wa mabomba hayo uliibua mvutano wa kisiasa na kiusalama barani Ulaya hasa katika muktadha wa vita vya Ukraine.
Ujerumani yarekodi visa 18,000 vya ukatili wa kingono
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Alexander Dobrindt amesema sehemu kubwa ya makosa hayo yalifanyika mtandaoni.
Polisi Ujerumani yarekodi visa 18,000 vya ngono kwa watoto
Asilimia 57 ya kesi za unyanyasaji wa kingono zinaonyesha mtuhumiwa na mwathirika walikuwa wakijuana
Ujerumani yamfungulia mashtaka raia wa Urusi
Raia wa Urusi ashtakiwa kwa kupanga shambulio ubalozi wa Israeli Berlin na kwa nia ya kujiunga na kundi la IS Pakistan.
Ujerumani yaukemea mpango wa Israel wa kuidhibiti Gaza
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron azipinga lawama za Waziri Mkuu wa Israel kwamba anasababisha chuki kwa Wayahudi
Japan yaandaa mkutano kuhusu Maendeleo ya Afrika (TICAD)
Mgogoro wa madeni Afrika umechochewa na kupunguzwa kwa misaada ya Magharibi, mizozo na mabadiliko ya hali ya hewa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ziarani Indonesia
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Ujerumani Johann Wadephul anaitembelea Indonesia leo Jumatano.
Mshambuliaji Soko la Krismasi Magdeburg ashtakiwa kwa mauaji
Aliyeshambulia Soko la Krismasi Magdeburg, Ujerumani ashtakiwa kwa mauaji ya watu sita na kuwajeruhi zaidi ya 300.
Ujerumani yaachukua wakimbizi 942 chini ya mpango wa Ulaya
Ujerumani imewachukua wakimbizi 942 kutoka nchi mbalimbali duniani kwa mwaka huu.
Mfumuko wa bei kuendelea kuongezeka 2025
Taasisi ya utafiti ya masuala ya uchumi ya Ujerumani ya Ifo, imesema mfumuko wa bei duniani utaendelea kuwa juu 2025.
Wapinzani wa Urusi wazuiwa viza Ujerumani?
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani inasema inatekeleza makubaliano ya vyama vinavyounda serikali ya mseto.
Iran:Tutaendelea kufanya mazungumzo na IAEA
Iran imebainisha kuwa itaendelea na mazungumzo na Shirika la Kudhibiti Nishati ya Nyuklia la Umoja wa Mataifa IAEA.
Rais wa Syria asema nchi haiunganishwi kwa kumwaga damu
Rais wa Syria asema kuunganisha nchi hapaswi kuwa kwa kumwaga damu
Wadephul: Muhimu kusitishwa mapigano Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amesisitiza tena umuhimu wa kusitisha mapigano nchini Ukraine.
Pro Asyl yafungua kesi dhidi ya Wadephul na Dobrindt
Wadephul na mwenzake Dobrindt wadaiwa kushindwa kuwalinda wahamiaji wa Afghanistan waliorejeshwa Kabul.
Msimu mpya wa kandanda la Ujerumani kuanza
Msimu wa ligi kuu Ulaya unaanza hii leo hapa Ujerumani kesho kutakuwa na mechi ya ufunguzi wa pazia ya German Cup ambapo Bayern Munich watakuwa wanakwaana na VfB Stuttgart, lakini usiku wa leo huko England na Uhispania, Premier League pamoja na La Liga zitakuwa zinacheza mechi za kwanza.
Wapalestina wana hofu juu ya Israel kujenga makazi mapya
Eneo la E1 katika Ukingo wa Magharibi ni nyumbani kwa karibu watu 7000 wa jamii ya Bedouin
Ujerumani yakataa ujenzi wa makazi Ukingo wa Magharibi
Waziri wa fedha wa mrengo wa kulia wa Israel Bezalel Smotrich alitangaza mipango ya kujenga takriban nyumba 3,400.
Wajerumani wengi waiona serikali ya muungano imegawika
Utafiti mpya wa maoni uliofanywa na shirika la habari la Ujerumani ZDF unaonyesha kwamba Wajerumani wanaona kuwa baada y
Uturuki na Syria wasaini mkataba wa ushirikiano na ulinzi
Uturuki na Syria zimetia saini mkataba wa ushirikiano kuhusu ulinzi huku Ankara.
Merz: Mazungumzo na viongozi wa Ulaya yamekuwa ya manufaa
Viongozi wa Ulaya wanajaribu mumshawishi Rais Donald Trump kuhakikisha Ukraine haiathiriki na maamuzi ya kusaka amani
Kremlin:Mkutano wa Putin na Trump utakuwa wa manufaa makubwa
Urusi iliivamia Ukraine mapema mwezi Februari na tangu wakati huo imefanya mashambulizi makubwa na kuchukua maneo
Zelenskiy akutana na Merz mjini Berlin
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amekutana kwa mazungumzo ya dharura na Kansela Friedrich Merz wa Ujerumani pamoja na
Ujerumani yakabiliwa na joto la kupindukia
Ujerumani inakabiliwa na joto kali la msimu wa joto Jumatano, huku viwango vya joto vikizidi nyuzi 30 kote nchini humo.
Waziri Mkuu wa New Zealand asema Netanyahu "kapoteza dira"
Netanyahu hivi karibuni alizindua mipango ya kulidhibiti Jiji la Gaza na kuliangamiza kabisa kundi la Hamas
Macron akiri Ufaransa iliendesha vita dhidi ya Cameroon
Sehemu kubwa ya Caneroon ilitawaliwa na Ufaransa baada ya kushindwa kwa mtawala wake wa zamani wa kikoloni, Ujerumani
Marekani: Ujerumani ilikiuka haki za binaadamu, 2024
Wataalamu wa haki za binaadamu wanaikosoa ripoti hiyo wakisema imeacha mambo mengi na ni ya kimaslahi
Israel: Uhusiano wetu na Ujerumani umeingia doa
Ujerumani imetangaza kutopeleka silaha Israel kwa kuhofia kuwa huenda zikatumika kwenye Ukanda wa Gaza.
Uhusiano na Ujerumani umeathirika - Balozi wa Israel
Baraza la Ulaya zikiyataka mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya kuzuia upelekaji silaha Israel ikiwa zitatumika vibaya.
Vituo vya polisi Ujerumani viko katika hali mbaya mno
Vituo vya polisi Ujerumani viko katika hali mbaya na vina haja kubwa ya uwekezaji na urekebishaji wa vituo hivyo. Haya y
Merz kuzungumza na Trump,Zelensky kabla ya mkutano wa Alaska
Merz atawashirikisha viongozi wengine wa Ulaya kutoka Ufaransa, Uingereza, Italia, Poland na Finland.
Israel yashambulia miji kadhaa ya Ukanda wa Gaza
Wapalestina wameshuhudia mashambulizi makubwa, saa chache baada ya Israel kutangaza oparesheni kubwa ya kijeshi.
Mazungumzo ya plastiki yafichua unafiki wa mataifa tajiri
Ingawa yanajitokeza kuunga mkono mkataba huo, wachambuzi wa mazingira wanasema kauli zao hazilingani na mchango wao.
Ujerumani yasitisha mauzo ya silaha kwa Israel
Uamuzi huo wa Israel unaendelea kupingwa na Umoja wa Mataifa, Wapalestina na jamii ya kimataifa
Ujerumani kusitisha kuiuzia vifaa vya kijeshi Israel
Ujerumani imekuwa mmoja ya waungaji mkono wakubwa wa Israel tangu shambulizi la Hamas la Oktoba 7, 2023
Athari za Ujerumani kusitisha kuiuzia silaha Israel
Ujerumani imetangaza kusitisha kuiuzia silaha Israel ambazo huenda zikatumika katika Ukanda wa Gaza, kufuatia uamuzi wa Israel kutanua operesheni zake katika ukanda huo. Tangazo hilo limetolewa Ijumaa mjini Berlin na Kansela Friedrich Merz. Ili kufahamu ukubwa wa tangazo hili, Jacob Safari amezungumza na mchambuzi na mtaalam wa siasa za Ujerumani Abdu Mtullya na kwanza alikuwa na haya ya kusema.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 6 Agosti 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 6 Agosti 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Rushwa yasalia kikwazo cha maendeleo kanda ya SADC
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, imebainisha kuwa nchi hizo bado zinakabiliwa tishio la usalama kutokana na vitendo vya rushwa. Sikiliza ripoti ya Veronica Natalis.
Ujerumani yasema hali ya Gaza haivumiliki
Johann Wadephul amesema hali kwenye Ukanda wa Gaza haivumiliki na ameahidi msaada zaidi wa dola milioni takriban sita.
Kukosa ajira hadi kuanzisha kituo cha redio
Baada ya kumaliza masomo yake nje ya nchi mwaka 2012, Jacqueline Lawrence Mwakyambiki aliamua kuanzisha kituo cha redio.
Watu wawili wauawa katika mapigano mapya kusini mwa Syria
Mkoa wa Sweida kusini mwa Syria ulishuhudia machafuko makubwa ya kikabila na kimadhehebu.
Pakistan na Iran zasaini makubaliano ya kiuchumi na usalama
Iko mipango ya kuanzisha eneo maalum la kiuchumi na kushirikiana katika sekta ya utamaduni na sinema.
Rwanda na Kongo kuanzisha ushirikiano wa kiuchumi
Kongo na Rwanda zimetia saini chini ya usimamizi wa Marekani makubaliano ya misingi ya mfumo wa maingiliano ya kiuchumi.
Mjumbe maalum Steve Witkoff atembelea kusini mwa Gaza
Wakati huo huo Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ameionya Israel dhidi ya kuutwaa Ukingo wa Magharibi
Jumuiya za EAC na SADC kuujadili mzozo wa mashariki mwa DRC
Jopo jipya la wapatanishi limeundwa, likijumuisha marais wa zamani wa Afrika.
Gaza: Moshi mzito wapaa karibu na hospitali ya Nasser
Hali ya ukosefu wa chakula inazidi kuwa mbaya huko Gaza na idadi ya vifo vya Wapalestina wanaosubiri misaada ikiongezeka
Waziri Wadephul wa Ujerumani ziarani Mashariki ya Kati
Wadephul na Abbas watajadili ghasia zinazoendeshwa na walowezi wa Israel dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi.
Wadephul: Israel inazidi kutengwa kidiplomasia
Mkutano wa hivi karibuni wa Umoja wa Mataifa umeonyesha kuwa Israel inazidi kuwa katika nafasi ya upweke kimataifa.
Wafanyakazi Ujerumani wakabiliwa na maisha ya mashaka
Wafanyakazi kadhaa nchini Ujerumani wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha huku wakishindwa kumudu kodi za nyumba licha ya kuwa na ajira. Nyumba za kupanga ni vigumu kuzipata na bei yake ni kubwa, hasa kwenye miji kama Berlin na hivyo sio rahisi kwa watu wenye vipato vya chini kumudu kodi za mijini. Mtayarishaji wa Makala ya Sura ya Ujerumani ni Zainab Aziz.
Merz, Mfalme Abdullah wajadili udondoshaji msaada Gaza
Mazungumzo ya Merz na Mfalme Abdullah yamejikita pia katika kuleta suluhisho la kudumu kanda ya Mashariki ya Kati.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 154
Ukurasa unaofuatia