You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Romania na Bulgaria zaingia rasmi katika eneo la Schengen
Kwa Romania na Bulgaria kujiunga na Schengen kunalifanya eneo hilo kuwa na nchi wanachama 29.
Watu watano wafariki Ujerumani mkesha wa mwaka mpya 2025
Mwaka huu mpya haukushuhudia matukio makubwa ya vurugu wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya Ujerumani.
Uchaguzi wa Ujerumani: Kwanini Elon Musk anaipigia debe AfD?
Wito wa Elon kwa wapigakura kukichagua chama cha AfD lilizusha dhoruba ya ukosoaji nchini Ujeurmani. Kwani wanataharuki?
Watu wawili wajeruhiwa katika shambulizi la kisu Berlin
Polisi imesema shambulio la Mkesha wa Mwaka Mpya lilitokea katika wilaya ya magharibi ya Charlottenburg.
Elon Musk amtusi Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier
Kwenye mtandao wake wa kijamii wa X, Musk amemuita Steinmeier mbabe anayepinga demokrasia.
Matangazo ya Jioni | Disemba 31, 2024
Ujerumani yajiandaa kuukaribisha mwaka mpya
Kulingana na mamlaka, maafisa wa polisi 3,000 watatawanywa mitaani usiku huko Berlin pekee.
Kansela Scholz: 'Tunaweza kufanya 2025 kuwa mwaka mzuri'
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amelihimiza taifa kushikamana katika hotuba yake ya Mwaka Mpya.
Ujerumani yawashitaki watu watatu kwa njama ya ujasusi
Mshukiwa mkuu Dieter S. inaaminika ni mwanamgambo mkongwe wa kundi la wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi nchini Ukraine.
Mshukiwa shambulizi la Magdeburg alitoa vitisho mara mbili
Mtaalamu huyo wa magonjwa ya akili mzaliwa wa Saudi Arabia aliwahi kutoa vitisho mara mbili katika siku za nyuma.
Merz akemea kauli za Musk kuunga mkono AfD Ujerumani
Merz akemea kauli za Musk kuunga mkono AfD katika uchaguzi Ujerumani
Mgombea wa ukansela Ujerumani amkemea bilionea Musk
Musk alikielezea chama chama cha AfD kuwa cheche ya mwisho ya matumaini kwa Ujerumani kauli iliyowakera wengi Ujerumani
Wajerumani walio nje wamehimizwa kupiga kura Februari 23
Wajerumani walio nje ya nchi wamehimizwa kujiandikisha mapema kwa uchaguzi wa Februari
Jinsi Kansela Olaf Scholz alivyopoteza umaarufu wake
Kwa nini serikali ya Ujerumani imepoteza umaarufu wakati wa uongozi wa Kansela Olaf Scholz?
Waziri Faeser aionya AfD kutumia tukio la Magdeburg kisiasa
AfD iliandaa mkutano Magdeburg Jumatatu, ambapo polisi walisema ulihudhuriwa na takriban watu 3,500.
Waziri Faeser aionya AfD kutotumia shambulio la Magdeburg
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Mbadala kwa Ujerumani, AfD kilifanya maandamano mjini humo siku ya Jumatatu.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 25, 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 25, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Shambulio la Magdeburg linavyochochea mrengo mkali Ujerumani
Waangalizi wanatahadharisha kuhusu namna wafuasi wa mrengo mkali Ujerumanji wanavyojiimarisha kutokana na tukio hilo.
Ujerumani kuandaa kumbukumbu ya walioangamia Magdeburg
Tukio hilo lilisababisha mauaji ya watu watano akiwemo mtoto wa miaka 9, huku watu wengine zaidi ya 200 wakijeruhiwa.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ahimiza umoja
Steinmeier, pia aliwapongeza maafisa wa usalama na wataalamu wa afya kwa kazi kubwa waliyofanya
Hotuba ya Krismasi: Rais wa Ujerumani atoa wito wa umoja
Rais wa Ujerumani pia ametuma ujumbe kwa vijana wa nchi hiyo. Amewaambia kuwa wanahitajika katika maeneo mengi
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 24, 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 24, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Idadi ya waliojeruhiwa kwenye mkasa wa Magdeburg yaongezaka
Idadi ya waliojeruhiwa kwenye mkasa wa Magdeburg yaongezaka
Serikali kuanzisha uchunguzi baada ya shambulio la Magdeburg
Watu watano waliuawa na wengine 200 walijeruhiwa katika soko a Krismasi lililokuwa limejaa watu kwenye mji wa Magdeburg
Magdeburg: Maswali yaibuka kuhusu hali ya usalama Ujerumani
Wachunguzi wamesema mshambuliaji huyo alikuwa pekee yake japo wanaendelea kuchunguza tukio hilo.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 23, 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 23, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Matangazo ya Jioni 22.12.2024
Papa Francis azungumzia tena ukatili unaofanywa na Israel Ukanda wa Gaza. Ufaransa yasubiri uteuzi wa serikali mpya kabla ya Krismasi. Na Mamia wakusanyika Magdeburg, Ujerumani kwa mkesha wa kuomboleza waliouwawa katika soko la Krismasi.
Ujerumani yachunguza maonyo kuhusu muuaji wa soko la Krismas
Imearifiwa kuwa mamlaka zilionya kuhusu hatari ya mshambuliaji huyo tangu mwaka 2023 lakini hazikuchukua hatua.
Matangazo ya mchana.22.12.2024
Mshukiwa wa shambulio la soko la Krismasi la Magdeburg ashtakiwa kwa makosa matano ya mauaji++Watu 28 wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel++China yaionya Marekani kwamba inacheza na moto kwa kutoa msaada wa kijeshi kwa Taiwan.
Ujerumani kuimarisha ulinzi baada ya shambulio la Magdeburg
Dakika moja ya ukimya yashuhudiwa katika masoko yote ya Krismasi nchini Ujerumani.
Scholz autembelea mji wa Magdeburg baada ya shambulio
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani ameutembelea mji wa Magdeburg baada kuvurumishwa gari kwenye soko la Krismasi.
21.12.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Halmashauri Kuu ya Ulaya, Ursula von der Leyen alaani shambulizi kwenye soko la Christmas mjini Magedburg, Ujerumani: Mamlaka mpya nchini Syria wasema unataka kuchagia amani ya kikanda na kukataa migawanyiko Na Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF yaidhinisha malipo ya dola bilioni 1.1 kwa ajili ya Ukraine. Ungana nasi kusikiliza zaidi taarifa ya Habari ya asubuhi ya leo.
Chapisho la Musk kuhusu AfD lawakera wanasiasa wa Ujerumani
Ujerumani inatarajia kufanya uchaguzi mwezi februari, 2025 kufuatia kura ya bunge ya kukosa imani na serikali ya Scholz.
Ujerumani: Gari laparamia watu soko la Krismasi Magdeburg
Maafisa wamesema mshukiwa wa shambulio ni raia wa Saudi Arabia ambaye hakujulikana kuwa mfuasi wa itikadi kali.
Wajerumani wakasirishwa na Musk kuinga mkono AfD
Wadau wa siasa za mrengo wa wastani wamelaani kauli hiyo ya Musk, wakimtaka kuacha kujiingiza katika siasa za Ujerumani.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Matukio na masuala ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na madhara yaliyolikumba jimbo la nje la Ufaransa la Mayotte, kutokana na kimbunga Chido. Mazungumzo juu ya kuleta amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yavunjika na juu ya mwisho wa mshikamano kati ya wakomunisti na chama cha ANC nchini Afrika Kusini. Mtayarishaji Zainab Aziz
Miaka 25 ya Shirika la GIZ Afrika Mashariki
Miradi ya GIZ imejikita katika teknolojia, mabadiliko ya tabianchi, biashara, afya, kukabiliana na magonjwa ya miripuko
Wafuma mazulia wanawake wa Morocco
Tunapenda sana mazulia ya kiwango cha hali ya juu na yenye kuvutia. Lakini shughuli yake unaijua? Utamaduni mkongwe wa ushonaji mazulia nchini Morocco unakabiliwa na hatari ya kutoweka. Lakini sasa kusini mwa nchi hiyo wanawake ndio wasimamizi wa kazi hiyo ya sanaa na wanajitahidi kuilinda.
Viongozi wa SADC wajadili ghasia za uchaguzi Msumbiji
Rais wa Msumbiji ametoa mwaliko wa mazungumzo kwa kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane lakini hakujitokeza.
Myanmar yaelezea maendeleo yaliyofikiwa kuelekea uchaguzi
Waziri wa mambo ya nje wa Myanmar amesema kulikuwa na mjadala wa wazi kuhusu hali ya Myanmar uliofanyika huko Bangkok.
Wabunge Ujerumani: Mjadala wa kuwarejesha Wasyria ufanyike
Wabunge waandamizi wa kihafidhina katika bunge la Ujerumani, Bundestag, wamewataka wanadiplomasia mjini Damascus kuzungu
Viongozi wa mataifa ya Ulaya na NATO kuijadili Ukraine
Viongozi kadhaa wa mataifa ya Ulaya watakutana leo mjini Brussels kujadili uungaji mkono zaidi kwa Ukraine.
Ujerumani kufanya mazungumzo na mamlaka mpya ya Syria
Ujerumani yaungana na Marekani na Uingereza kuanzisha mazungumzo na kundi la HTS
Scholz kukutana na Merz katika midahalo kabla Februari 23
Scholz kukutana na Merz katika midahalo miwili kabla ya uchaguzi wa Februari 23
Kansela Scholz apoteza kura ya imani bungeni
Kansela Olaf Scholz amepoteza kura ya imani bungeni na kufungua njia ya kufanyika uchaguzi wa mapema mwakani.
Olaf Scholz ashindwa kura ya imani bungeni
Wabunge 207 pekee wa chama cha SPD ndio waliompigia kura Scholz katika bunge la taifa lililo na wanachama 733.
Spika wa Zamani, Nancy Pelosi amelazwa nchini Ujerumani
Nancy Pelosi amelazwa hospitalini baada ya 'kupata jeraha' la kuanguka katika akiwa safarini Luxembourg
Rais wa Ujerumani Steinmeier azuru Lesotho
Steinmeier anamaliza ziara yake barani Afrika kama rais wa kwanza wa Ujerumani kuwasili Lesotho
Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani
Utafiti: Wajerumani wengi wanaishi katika umasikini
Wajerumani wengi ni masikini - Utafiti
Utafiti unaonesha kuwa watu wengi nchini Ujerumani wanaishi kwenye umasikini mkubwa wa makaazi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 154
Ukurasa unaofuatia