You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Gumzo la ushirikiano na Trump latawala Jukwaa la Uchumi
Huku Jukwaa la Uchumi Duniani WEF likipamba moto hapo jana huko Uswisi, Rais wa Marekani Donald Trump ameonekana kumpele
Kansela wa Ujerumani ameapa kutetea biashara huria Ulaya
Scholz pia amezungumzia kwa tahadhari matumaini yake kuhusu mahusiano kati ya Ujerumani na Marekani chini ya Trump.
Scholz asisitiza ushirika na Marekani chini ya utawala mpya
Kansela Scholz amesema uhusiano wa mataifa hayo unabaki kuwa muhimu kwa Ujerumani na kwa mataifa ya Ulaya.
Malaysia yalenga kuboresha ushirikiano wa ASEAN
Mawaziri wa mambo ya nje Mataifa ya ASEAN, wamefanya mkutano wa faragha nchini Malaysia.
Biden kutia saini agizo la 'jamii zilizoachwa nyuma'
Biden, atasaini agizo la kutanguliza rasilimali za serikali kusaidia kiuchumi jamii zilizo katika hali ngumu.
Baada ya Korea Kaskazini, Urusi yasaini mkataba wa ushirikiano na Iran
Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Iran Masoud Pezeshkian wafanya mazungumzo kwenye Ikulu Kremlin Ijumaa kabla ya kusaini mkataba mpana wa ushirikiano ili kuimarisha ushirikiano wao huku kukiwa na vikwazo vikali vya nchi za Magharibi.
Viongozi wa Urusi na Iran wasaini mkataba wa ushirikiano
Makubaliano hayo yanalenga kuimarisha ushirikiano, katikati ya machungu ya vikwazo vya nchi za Magharibi.
Marais wa Urusi na Iran wasaini makubaliano ya ushirikiano
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin wamesaini mkataba wa ushirikano wa kimkakati.
Rais wa Iran awasili Urusi kusaini mkataba wa ushirikiano
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian awasili Urusi kusaini makubaliano ya ushirikiano na atakutana na rais Vladimir Putin.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani.
Starmer kuwasili Poland baada ya ziara yake nchini Ukraine
Starmer amesema Uingereza na Poland ni washirika wa muda mrefu na ushirikiano wao utaendelea.
Ukraine, Uingereza zasaini mkataba wa ushirikiano
fumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine umezidunguwa droni kadhaa za Urusi katika mji mkuu, Kyiv.
Keir Starmer kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine
Waziri Mkuu wa Uingereza yuko Kyiv kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine.
Rais Touadera wa CAR azuru Moscow kuimarisha ushirikiano
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, yuko mjini Moscow kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano
Urusi yavurumisha wimbi la mashambulizi kuelekea Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani mashambulizi hayo.
Waziri wa Maendeleo wa Ujerumani Schulze, aitembelea Syria
Waziri huyo wa maendeleo wa Ujerumani amesema Syria hivi sasa inayo fursa ya kuwa na amani na maendeleo baada ya Assad.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Januari 15, 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Januari 15, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Mahakama: Vilabu vya Bundesliga kulipia gharama za polisi
Mahakama Kuu ya Ujerumani imetupilia mbali rufaa ya chama cha Bundesliga, DFL juu ya kulipia ulinzi wa mechi.
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani aizuru Kiev
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius anaizuru Ukraine kwa mazungumzo na viongozi wa serikali ya nchi hiyo.
Urusi, Iran kusaini mkataba wa ushirikiano wa kimkakati
Urusi imelaumu vikwazo vipya vya Marekani na Uingereza ikisema vinahatarisha biashara ya kimataifa.
Licha ya hali ngumu, Scholz aapa kupambana hadi mwisho
Sabine Kinkartz anasema SPD inategemea siasa za kimataifa zitaibeba kwenye uchaguzi wa Februari 23.
Ulaya, Arabuni wakutana kuijadili Syria
Mkutano huu unafungua mlango wa ujenzi mpya kwa taifa hilo muhimu kimkakati katika eneo la Mashariki ya Kati.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Januari 13, 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Januari 13, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Netanyahu na Biden wajadili kuhusu mazungumzo ya Doha
Makubaliano hayo pia yanalenga kuachiliwa huru kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas katika ukanda wa Gaza.
Jinsi Ujerumani inavyotafuta kupunguza gharama za umeme
Umeme wa Ujerumani ni ghali zaidi Ulaya na unaathiri watumiaji na uchumi. Wanasiasa wanatafuta suluhu. Wana chaguo zipi?
Je, madai ya Musk na Weidel yana ushahidi?
Elon Musk alishiriki mazungumzo ya wazi kwenye X na Alice Weidel, mgombea wa ukansela wa chama cha AfD.
Scholz apinga wito wa kuongeza bajeti ya ulinzi ya NATO
Olaf Scholz apinga pendekezo la Trump kuzitaka nchi za jumuiya ya NATO kuongeza bajeti ya ulinzi hadi asilimia tano.
Maandamano ya kupinga chama cha AfD kufanyika Ujerumani
Wanaharakati wa Ujerumani wafanya maandamano kukipinga cha chama cha mrengo mkali wa kulia cha Ujerumani cha AfD.
Vyama vikuu Ujerumani vyazindua kampeni kuelekea uchaguzi
Vyama vikuu vitatu nchini Ujerumani vimezindua kampeni kuelekea uchaguzi wa kitaifa utakaofanyika mnamo Februari 23.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Matukio yaliyozingatiwa na Magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na kurejea nchini Msumbiji kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane. Marekani yasema vikosi vya RSF nchini Sudan vimetenda mauaji ya kimbari. Watu nchini Somalia wanaihitaji mvua lakini wakati huo huo wanaihofia
Ujerumani kuhudhuria mkutano wa kimataifa juu ya Syria
Watu watatu wameuawa katika mkanyagano nje ya msikiti mmoja mjini Damascus
Msichana Jasiri: Kiongozi wa wanafunzi wenye mahitaji maalum
Safari ya viongozi wa ulimwengu huanzia mbali sana. Katika #msichanajasiri wiki hii, tunamwangazia Zainab Masoud kiongozi wa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika chuo Kikuu Cha Ustawi Wa Jamii, kilichoko Dar es salaam Tanzania.
Zelensky atoa wito kwa utengenezaji wa droni Ukraine
Volodymyr Zelensky amewahimiza washirika wake kuunga mkono utengenezaji wa droni za kivita nchini Ukraine.
Jimmy Carter atakumbukwa kwa lipi barani Afrika?
Taasisi yake inaendelea kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo barani Afrika.
Scholz atarajia mahusiano mazuri na serikali ya Trump
Ujerumani inajiandaa kwa uchaguzi wake mkuu mwezi ujao ambao unatazamiwa kuiingiza serikali mpya inayoongozwa na CDU/CSU
Scholz ataka waathirika wa Magdeburg wapatiwe msaada zaidi
Scholz ametaka msaada mkubwa zaidi wa serikali utolewe kwa waathirika wa shambulizi la gari kwenye soko la Krismasi.
Ujerumani: Kauli za Musk haziwezi kuisumbua Ujerumani
Msemaji wa serikali ya Ujerumani asema kauli za Musk haziwezi kuisumbua Ujerumani.
Matangazo ya mchana.05.01.2025
Wakorea Kusini waandamana kwenye makazi ya rais Yoon aliyesimamishwa kazi++Hali mbaya ya hewa yaathiri shughuli za ndege katika baadhi ya miji Ujerumani++Na Israel yasema imeyashambulia maeneo 100 ya Gaza yanayotumiwa na Hamas.
Faeser: Baadhi ya Wasyria huenda wakalazimika kurejea kwao
Ofisi ya Wizara za Mambo ya Nje na ya Ndani zinafanya kazi pamoja ili kupata picha kamili ya hali ilivyo Syria
Hali mbaya ya hewa yaathiri shughuli za ndege Ujerumani
Shirika la Reli la Taifa la Ujerumani Deutsche Bahn (DB), nalo pia limetoa tahadhari kwamba hali mbaya ya hewa.
Baerbock: EU inaendelea kufuatilia mchakato wa kisiasa Syria
Baerbock ameyasema hayo mjini Damascus Syria ambako yeye na waziri mwenzake wa Ufaransa Jean-Noël Barrot, walizuru.
Ulaya kuisaidia Syria ya baada ya Assad
Ujerumani na Ufaransa zimeahidi kuendelea kuisaidia Syria wakati ikianza ujenzi mpya wa taifa baada ya Assad.
Urusi yakataa azma ya Ujerumani kupata kiti cha kudumu UN
Urusi imekataa azma ya Ujerumani kupata kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Idadi ya majeruhi katika shambulizi Ujerumani yaongezeka
Awali iliripotiwa kuwa watu waliojeruhiwa katika shambulizi hilo lililotokea wiki mbili zilizopita, walikuwa 235.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na maandamano ya vijana yamepamba moto nchini Msumbiji kudai mabadiliko ya uongozi. Juu ya ugonjwa usiojulikana nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kuangushwa kwa Assad kunaweza kutatiza shughuli za Urusi nchini Libya na kwenye ukanda wa Sahel. Mtayarishaji, Zainab Aziz
Ruto na Museveni wahimiza ushirikiano barani Afrika
Ruto asema Odinga yupo katika nafasi nzuri ya kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili Afrika.
Mawaziri wa Kigeni wa Ujerumani, Ufaransa waizuru Syria
Juhudi za mataifa ya Magharibi kuhakikisha usalama wa maslahi yao baada ya kuondoshwa madarakani Bashar al-Assad.
Changamoto za kisiasa zinazoisubiri Ujerumani mwaka 2025
Kudhibiti uhamiaji na kulinda utawala wa sheria ni baadhi tu ya masuala ambayo yataangaziwa sana Ujerumani mwaka 2025.
Shule ya Msitu wa Tembo yasaidiwa taa za nishati ya jua
Wanafunzi wafunga taa za nishati ya jua katika shule ya Msitu wa iliyopo Simanjiro Manyara kaskazini mwa Tanzania.
Freidrich Merz aunga mkono mazungumzo ya kibiashara na Trump
Merz ameeleza kuwa makubaliano mapya ya kibiashara yanaweza kuikinga Ulaya na hatari ya ongezeko kubwa la ushuru.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 154
Ukurasa unaofuatia