You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mzozo wa DRC: Jumuiya za EAC na SADC zatoa wito wa amani
Jumuiya hizo zimetoa wito wa usitishwaji mara moja mapigano na kuumaliza mzozo huo kwa njia ya amani.
Viongozi wa EAC, SADC waujadili mzozo wa mashariki mwa DRC
Rais wa Kenya William Ruto ametoa wito wa usitishwaji mara moja mapigano huko mashariki mwa Kongo.
Viongozi wa Afrika Mashariki kuijadili hali Congo
Kuna taarifa za kutatanisha kuhusu uwepo wa waasi wa M23 na washirika wao katika jimbo la Kivu Kusini.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz akosoa vikwazo dhidi ya ICC
Trump alitia saini amri ya kuiwekea vikwazo mahakama ya ICC, akiituhumu kuilenga Marekani na mshirika wake mkuu, Israel.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Maswala ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na kuibuka tena kwa nguvu waasi wa M23 katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Sera ya kumiliki ardhi nchini Afrika Kusini yapamba moto kisiasa. Bara la Afrika latatizika baada ya Marekani kusimamisha misaada ya maendeleo na ruzuku kwa Shirika la Afya Duniani, WHO
Ujerumani chini ya NATO yaanza doria Bahari ya Baltic
Ujerumani inashiriki katika oparesheni mpya ya NATO inayolenga kuongeza ufuatiliaji na kuchunguza uwepo wa hujuma katika Bahari ya Baltiki. Hatua hii ni baada ya kuongezeka kwa visa vya uharibifu wa miundombinu chini ya bahari katika eneo hilo.
Rais wa Ujerumani kufanya mazungumzo na mfalme wa Jordan
Jordan ni miongoni mwa nchi zinazotajwa kuwa na utulivu mkubwa katika kanda ya Mashariki ya kati.
Kiongozi wa Waislamu wa Ismailia Aga Khan afariki dunia
Aga Khan anakumbukwa kwa michango yake kwa maendeleo ya jamii kote ulimwenguni kuanzia elimu, afya na mengineyo.
Steinmeier afanya mazungumzo na Mwanamfalme wa Saudia
Rais huyo wa Ujerumani ataizuru Jordan kukutana na wanajeshi wa Ujerumani kabla ya kukutana na Mfalme Abdullah wa pili.
G7 yalaani hujuma za M23 mashariki mwa Kongo
Juhudi za kidiplomasia zimeongezeka kujaribu kuzuia kutanuka kwa mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
Merz asema yuko tayari kuwa Kansela wa Ujerumani
Mwanasiasa wa chama cha kihafidhina Friedrich Merz, amesema yuko tayari kuliongoza Ujerumani.
Maelfu waandamana Ujerumani kupinga siasa kali
Karibu watu 200,000 waliandamana Berlin na wengine 9,000 huko Frankfurt.
Steinmeier ziarani Mashariki ya Kati
Steinmeier ziarani Mashariki ya Kati
Maelfu wajitokeza kupinga siasa kali Ujerumani
Waandamanaji walimiminika mitaani katika Mji Mkuu wa Ujerumani, Berlin, hapo Jumapili wakipinga hatua ya chama cha upinz
Miji kadhaa ya Ujerumani kufanya maandamano dhidi cha AFD
Chama cha CDU/ CSU mapema wiki hii kilitegemea kura za chama cha AfD kinachopinga wageni.
Rais wa zamani wa Ujerumani Horst Köhler afariki dunia
Köehler aliyeiongoza Ujerumani kati ya mwaka 2004 hadi 2010, alifahamika kama muungaji mkono mkubwa wa bara la Afrika.
Muswada wa uhamiaji Ujerumani washindwa kupita bungeni
Utata kuhusu sheria hiyo na namna ambavyo ingepitishwa kwa msaada wa AfD, vimetikisa siasa za Ujerumani.
Muswada wa kudhibiti uhamiaji Ujerumani washindwa bungeni
Utata kuhusu sheria hiyo na namna ambavyo ingepitishwa kwa msaada wa AfD, vimetikisa siasa za Ujerumani.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaendelea kugonga vichwa vya habari
Wakuu wa SADC wakutana Harare kuujadili mzozo wa Kongo
Wakuu wa SADC wakutana Harare kuujadili mzozo wa Kongo
Bunge la Ujerumani lajadili sera kali za uhamiaji
Muswada huo uliletwa bungeni na Kiongozi wa chama cha upinzani cha CDU Friedrich Merz
Bunge Ujerumani laridhia kupunguza wakimbizi
Bunge la Ujerumani Bundestag, limeupitisha muswada wa kuwakataa wahamiaji wengi zaidi katika mipaka ya Ujerumani.
Wabunge wa Ujerumani kupigia kura muswada tata wa uhamiaji
Muswada huo uliwasilishwa na muungano wa kihafidhina wa CDU/CSU.
Ujerumani inapigia tena kura mageuzi ya sheria ya uhamiaji
Wabunge wa Ujerumani wanapiga kura kwa mara nyingine kuhusu hoja inayotaka mageuzi katika sheria ya uhamiaji.
Scholz aonya ushirika wa CDU/CSU na AfD muswada wa uhamiaji
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameonya juu ya ushirika wa CDU/CSU na AfD muswada wa uhamiaji.
Wafadhili waahidi dola bilioni 8 kusambaza umeme Afrika
Benki ya Maendeleo ya Afrika na wakopeshaji wenginewameahidi zaidi ya dola bilioni 8 kusaidia upatikanaji umeme Afrika.
Denmark na Ujerumani zataka Ulaya iliyo thabiti
Kurejea kwa Rais Donald Trump wa Marekani kunaifanya Ulaya kuangazia mikakati zaidi ya kukabiliana na kiongozi huyo.
Afrika kupata nishati ya uhakika kufikia 2030
Marais wa Afrika wamekutana Tanzania kujadili sekta ya nishati katika bara hilo linaloshuhudia changamoto ya nishati.
Ujerumani: Wapalestina hawapaswi kuondolewa Gaza
Ujerumani imesema kwamba watu wa Palestina hawapaswi kuondolewa katika eneo lao kwenye Ukanda wa Gaza.
Nchi za Afrika kujadili upatikanaji wa umeme kwa wote
Nchi za Afrika kujadili upatikanaji wa umeme kwa wote
Wakuu wa nchi 50 Afrika wakutana Tanzania kujadili nishati
Takwimu za nishati barani Afrika zinaonyesha hadi mwaka 2022 83% ya watu milioni 685 walikuwa hawajafikiwa na umeme.
Burkina Faso, Mali na Niger kujiondoa rasmi ECOWAS
Hatua ya kujiondoa kwenye muungano huo wa kiuchumi Afrika ya Magharibi inaweza kuathiri pakubwa uchumi wa eneo hilo.
Serikali ya Ujerumani, upinzani wakabiliana kuhusu uhamiaji
Merz, anayepigiwa upatu kuwa kansela ajaye, anataka kuwepo na udhibiti mkali wa mipakani na polisi ipewe nguvu zaidi.
Ujerumani yapinga kuwahamisha Wapalestina kutoka Gaza
Ujerumani yapinga kauli ya Trump ya kuwahamisha Wapalestina kutoka Gaza
Miaka 80 tangu kukombolewa kwa kambi ya Auschwitz
Imetimia miaka 80 tangu kukombolewa kwa kambi ya Auschwitz
Umoja wa Ulaya kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels.
Auschwitz: Alama ya mauaji ya Holocaust
Miaka 80 iliyopita, tarehe 27 Januari 1945, wanajeshi wa Jeshi la Kisovieti walifika katika kambi ya mateso na maangamizi ya Auschwitz. Jinsi Auschwitz ilivyogeuka alama ya mauaji ya Wayahudi (Holocaust), mauaji ya kimbari, na ugaidi - na kuwa kituo kikubwa zaidi cha kambi kilichojengwa na Ujerumani ya Kinazi.
Chama cha Kijani Ujerumani chakamilisha ilani ya uchaguzi
Chama hicho kilikubaliana kuhusu masuala mbalimbali, kuanzia uchumi hadi gharama za ulinzi na hata ufyatuaji wa fataki.
Uturuki yaomba ushirikiano kupambana na wapiganaji wa PKK
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Uturuki Hakan Fidan ameomba ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na wanamgambo wa PKK.
Gavana wa kijeshi wa Kivu Kaskazini apigwa risasi
Umoja wa Mataifa waonya kuwa mzozo huo umesababisha zaidi ya watu 400,000 kuyahama makazi yao toka kuanza kwa mwaka huu.
Historia ya wanawake Namibia enzi za ukoloni inavyosimuliwa
Wanawake wa Namibia walishuhudia na kupitia kwanza mauaji ya halaiki ya enzi ya ukoloni wa Ujerumani. Na hii leo, wanawake ndiyo wako mstari wa mbele kukuza ufahamu wa kilichotokea na kuganga yajayo.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Mapigano katika eneo la Mashariki mwa Kongo yanasababisha madhara makubwa kwa watu wa sehemu hiyo kila siku
Wanawake wa Namibia na uasi dhidi ya ukoloni
Uvamizi wa kikoloni wa Ujerumani nchini Namibia dhidi ya jamii za Nama na Herero ulimaanisha vita vya jamii nzima, siyo vya askari pekee. Manusura walipitia madhila ya kutisha, lakini wanawake walistahamili na kupambana kuihami jamii yao.
Tamaduni zilivyochochea jamii kupambana na ukoloni
Katika mwendelezo wa Makala za kivuli cha ukoloni wa Ujerumani, tunatizama jinsi tamaduni zilizisaidia jamii kuchukua msimamo dhidi ya utawala wa kikoloni. Mwishoni mwa miaka ya 50 wanawake waliilazimisha serikali ya kikoloni nchini Cameroon kuachia ngazi. Nchini Cameroon, kuna utamaduni wa karne nyingi unaoitwa Anlu.
Uasi uliofanywa na jamii ya Dahomey huko Cameroon
Mwaka 1893 wanaume na wanawake wa Dahomey walifanya uasi mkubwa dhidi ya unanyanyasaji wa maafisa wa kikoloni wa Ujerumani nchini Cameroon, katika mojawapo ya vuguvugu kubwa ambalo Ujerumani haikuwa imejiandaa. Tizama simulizi hiyo.
Li'ti Kidanka alifahamika zaidi kama Malkia wa Nyuki
Wakoloni wa Kijerumani walipoingia Afrika Mashariki, walikutana na nguvu ambayo hakuna aliyekuwa ameitarajia ya Li'ti Kidanka. Li’ti Kidanka alikuwa kiongozi wa kiroho kutoka jamii ya kabila la WaNyaturu mkoani Singida, kanda ya Kaskazini-Kati mwa Tanzania.
Nduna Mkomanile, shujaa wa kike Tanzania enzi ya ukoloni
Katika mfululizo wa Makala za video zilizoandaliwa na DW, tunatizama jinsi gani ukoloni wa Ujerumani Afrika ulivyokabiliwa na upinzani mkali. Nduna Mkomanile ambaye alijitahidi kuziunganisha jamii za Tanzania dhidi ya ukoloni wa Wajerumani wakati wa vita vya Maji Maji mwanzoni mwa karne ya 20. Sasa anatambulika kama mmoja wa mashujaa wa kike muhimu zaidi wa uhuru wa Tanzania.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Juma hili, mwenendo wa vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umemulikwa, maafa yaliyotukia kwenye mgodi wa zamani wa Stilfontein Afrika ya Kusini yameangaziwa na Tanzania imethibitisha uwepo wa virusi vya marburg nchini humo.
Upinzani Ujerumani wataka wahamiaji haramu wadhibitiwe
Kiongozi wa chama mbadala wa Ujerumani - AfD Alice Wiedel ametaka kura ya haraka ya bunge kuhusu kufunga mipaka ya nchi.
Wajerumani ughaibuni wakabiliwa na shinikizo la kupiga kura
Wajerumani milioni 3 hadi milioni 4 walioko nje wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi ujao. Lakini kuna matatizo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 154
Ukurasa unaofuatia