You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taarifa ya Habari ya Asubuhi Februari 26, 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Februari 25, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Joe Chialo Seneta wa chama cha CDU apongeza matokeo ya uchaguzi
Kufuatia uchaguzi wa bunge wa Jumapili ( 23.02.2025) nchini Ujerumani, Muungano wa kihafidhina wa CDU/CSU ulipata asilimia 28.5 ya kura, ukifuatiwa na AfD iliyojikingia asilimia 20.5 kulingana na matokeo rasmi ya uchaguzi. Seneta wa chama cha CDU katika jimbo la Berlin Joe Chialo, mwenye asili ya Tanzania amewashukuru wapigakura kwa kukipa ridhaa chama chao.
Juhudi za kutafuta washirika wa serikali mpya zaanza Berlin
Mwenyekiti mwenza wa SPD Lars Klingbeil amechukua usukani katika mazungumzo ya kuunda serikali.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Februari 25, 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Februari 25, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Merz ataka kuunda serikali haraka
Merz amesema atamualika waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu azuru Ujerumani
Muungano wa CDU/CSU washinda uchaguzi Ujerumani
Friedrich Merz ndiye Kansela mteule wa Ujerumani sasa baada ya muungano wa vyama vya Kihafidhina CDU/CSU kuushinda uchaguzi mkuu. Changamoto inayomkabili Merz sasa ni kutafuta washirika wa kuunda serikali ya muungano. Ila Merz ni kiongozi wa aina gani?
Viongozi duniani wampongeza Merz kwa ushindi
Rais wa Marekani, Donald Trump ni mmoja wa viongozi waliompongeza Merz, licha ya kiongozi huyo kujitenga na Marekani.
Wajerumani wapiga kura kumchagua Kansela
Wajerumani wanapiga kura kumchagua Kansela wa taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya. Rais Frank-Walter Steinmeier amewasihi wapiga kura kutumia haki yao ya kikatiba katika kuleta mabadiliko ya kidemokrasia nchini humo.
CDU/CSU yashinda uchaguzi wa bunge Ujerumani
Merz amesisitiza kipaumbele chake ni kuimarisha Ulaya haraka iwezekanavyo ili kupunguza utegemezi kwa Marekani.
Uchaguzi Ujerumani: CDU yashinda, AfD yapaa, SPD yaporomoka
CDU/CSU yashinda, huku SPD kikishindwa vibaya. Kila Mjerumani wa tano amepigia kura kwa mrengo mkali wa kulia.
Friedrich Merz ni nani, Kansela mtarajiwa wa Ujerumani?
Kama mzungumzaji mwenye kipaji, Friedrich Merz kijana alikuwa taa ya matumaini kwa wahafidhina wa CDU.
Matokeo ya Uchaguzi wa Ujerumani katika michoro
Hapa kuna michoro ya jinsi walivyopiga kura, ni vyama gani vinaongoza, na ni miungano gani inawezekana.
Uchaguzi Ujerumani: CDU/CSU waongoza matokeo ya awali
Wapiga kura wameamua. Makadirio ya uchaguzi wa Bunge 2025 yanaonyesha Ujerumani inakabiliwa na mabadiliko ya serikali.
Nani atakuwa Kansela mpya wa Ujerumani?
Raia wa Ujerumani wanapiga kura leo Jumapili (23.02.2025) kuchagua serikali mpya.
Zelensky : Ulaya kufanya mengi kuhakikisha amani Ukraine
Zelensky asema Ukraine na washirika wake wa Ulaya wana mapendekezo ya wazi ya kumaliza vita.
Ujerumani yaingia siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi
Maandamano kufanyika katika miji kadhaa ya Ujerumani siku moja kabla ya uchaguzi.
Serikali ijayo Ujerumani yaweza kufufua uchumi uliodorora?
Nguvu ya kiuchumi ya Ujerumani inategemea pakubwa uzalishaji wa viwanda ambao unachangia karibu robo ya Pato la Taifa.
Umaarufu wa vyama vikuu Ujerumani washuka kidogo
Matokeo hayo yanaonesha huenda ikawa vigumu kupatikana serikali ya muungano wa pande mbili.
EU kuondoa vikwazo katika sekta ya benki na nishati Syria
Hatua hiyo inayotarajiwa kuidhinishwa katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii yameangazia juu ya kuchaguliwa kwa Mwenyekiti mpya ya Tume ya Umoja wa Afrika. Umoja wa Mataifa waonya juu ya kuongezeka ghasia katika eneo la Mashariki ya Kongo na vilabu vya Ulaya vinavyofadhiliwa na Rwanda vyalaumiwa kwa kutoikosoa nchi hiyo kwa kuwaunga mkono waasi wa M23 nchini Kongo.
Raia wapya nusu milioni wa Ujerumani kupiga kura mwaka huu
Baadhi yao wana wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa umaarufu wa chama cha siasa kali cha AfD kinachopinga uhamiaji.
Mabadiliko makubwa katika sera za kigeni za Ujerumani
Sasa, zaidi ya wakati wowote, ni suala la kujenga mustakabali wa uhakika kwa vizazi vijavyo.
Scholz Katika mapambano ya Ukansela wa Ujerumani
Februari 23 Ujerumani itafanya uchaguzi wa mapema wa Bunge, Bundestag. Kansela Olaf Scholz anatetea wadhifa huo.
Wagombea ukansela Ujerumani wachuana kwenye mdahalo
Mdahalo wa mwisho wa televisheni ulifanyika kati ya kiongozi wa upinzani Friedrich Merz wa CDU na Olaf Scholz wa SPD.
Je, zipo faida za kufanyakazi siku nne kwa wiki?
Ujerumani imefanya majaribio ya wafanyakazi kufanya kazi kwa siku nne badala ya tano kwa wiki kwa malipo ya mshahara ule ule,lengo ni kumpa nafasi mtu kuwa na muda wa ziada kwa mambo mengine ikiwemo familia. Hebu sikiliza kwa undani.
Utamaduni wa manukato na asili yake kwa waswahili
Kwa utamaduni wa kiswahili udi ama manukato ni sehemu ya urembo wa usali ukitambulika kwa harufu yake ya kufutia ikidumu mwilini na kwenye nguo kwa muda mrefu. Lakini unajua asili yake? Sikiliza makala
Uhakiki wa Ukweli: Jinsi Urusi inavyoathiri uchaguzi
Kampeni za upotoshaji za Urusi zinajaribu kushawishi uchaguzi wa Ujerumani. Lakini zinafanikiwa kwa kiasi gani?
Mwili wa Rais wa zamani wa Ujerumani Köhler kuagwa leo
Köhler alifariki dunia mapema mwezi huu akiwa na umri wa miaka 81.
Matangazo ya jioni: 15.02.2025
UN yatahadhirisha kuhusu vita vya kikanda katika mkutano wa Umoja wa Afrika++Rais wa Ukraine asema kamwe nchi yake haitokubali mpango wowote wa mazungumzo ya amani kati ya Urusi ambao hauihusishi nchi yake moja kwa moja++Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kushambulia mji wa Bunia mashariki mwa Kongo.
Ujerumani: Wagombea wajibizana kuhusu uchumi
Hii ni mara ya kwanza kwa wapiga kura wa Ujerumani kuwaona wagombea wanne kwenye jukwaa la mdahalo,
Ujerumani: Wagombea Ukansela wachuana kwenye mdahalo
Wagombea hao walijadili mada muhimu kuhusu Ujerumani na masuala ya kimataifa.
Zelenskiy : Hakuna mpango wa mazungumzo ya amani bila sisi
Rais huyo wa Ukraine ametoa mwito pia kwa Ulaya kuwa na jeshi lao na kwamba Ukraine pekee yake haiwezi kupigana vita.
Merz akemea kauli za Makamu wa rais wa Marekani kuhusu Ulaya
Merz amesema Ujerumani ni mlinzi wa uhuru wa kujieleza lakini habari potofu na za chuki hazina nafasi.
Scholz ahutubia mkutano wa kimataifa wa usalama wa Munich
Scholz amezungumzia pia vita vinavoendelea kati ya Ukraine na Urusi.
Vyama vya Ujerumani vyafikiria kukopa zaidi
Katiba ya Ujerumani inasema kuwa serikali inapaswa kutumia kiasi cha fedha inachokusanya tu.
Kwa nini Ulaya Kusini inaongoza ukuaji wa ukanda wa euro?
Nchi 20 zinazotumia euro hazina maendeleo, na matatizo ya uchumi nchini Ujerumani yanaongeza shida hizo.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Mzozo wa Mashariki mwa Kongo bado umetawala vichwa vya magazeti ya Ujerumani.
Mzozo wa Kongo kutawala mkutano wa kilele wa AU
Mkutano wa kilele wa viongozi wa Umoja wa Afrika, AU kutawaliwa na mzozo wa Kongo na uchaguzi wa viongozi wapya.
Mhamiaji akamatwa mkasa wa gari kuparamia watu Munich
Polisi ya mji Munich imemkamata mwomba hifadhi mwenye asili ya Afghanistan anayetuhumiwa kuparamia umati kwa gari.
Mkimbizi wa Afghanistan agonga waandamanaji Ujerumani
Tukio hilo limezidisha tahadhari za usalama kuelekea mkutano wa kimataifa wa Munich.
Uzinduzi wa wiki ya ubunifu wa teknolojia ya kijani Tanzania
Lengo ni kubadilishana uzoefu na kuyafikia masoko mapya yanayochipukia Tanzania katika sekta za rasilimali za maji.
Rubio kuitembelea Ujerumani, Israel, Saudia na UAE
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Marco Rubio atafanya ziara barani Ulaya na kisha kuitembelea kanda ya Mashariki.
Ujerumani yarefusha kipindi cha ukaguzi wa mipakani
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametangaza kuongeza muda wa ukaguzi kwenye eneo lote la mipaka ya taifa hilo.
Ajenda ya uhamiaji yatawala uchanguzi wa Ujerumani
Suala la kuwazuia wahamiaji limetawala kampeni za uchaguzi nchini Ujerumani, hatua ambayo inazua wasiwasi miongoni mwao.
Mazingira vs. uchumi: Je, Ujerumani inapaswa kuchagua?
Wataalamu wanahofu kwamba wanasiasa wanapambanisha ulinzi wa mazingira na ukuaji wa uchumi. Hii itakuwa na athari zipi?
Scholz na Merz wapambana kwa maneno bungeni
Scholz na Merz wapambana kwa maneno bungeni
Maandamano ya kupinga nishati ya visukuku yafanyika Paris
Wanaharakati wa hali ya hewa leo wamefanya maandamano mjini Paris ya kuzitaka kampuni za teknolojia kutotumia nishati ya
Scholz na Merz wachuana katika mdahalo kuelekea uchaguzi
Scholz amemshutumu Merz kwa kuvunja kauli yake baada ya kukubali kuungwa mkono na chama cha AfD.
Kim akosoa ushirikiano wa Marekani, Korea Kusini na Japan
Kim ameahidi kuimarisha zaidi mpango wake wa silaha za nyuklia.
Kim Jong Un akosoa ushirikiano wa kiusalama wa pande tatu
Kim Jong Un akosoa ushirikiano wa kiusalama wa pande tatu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 154
Ukurasa unaofuatia