You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu yasikilizwa Mahakama Kuu
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu imesikilizwa Jumatatu kwa mara ya kwanza
Baerbock achaguliwa Rais Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Baraza Kuu la UN limemchaguwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Annalena Baerbock, kuwa rais wake.
Kufungwa kwa Jamii Forum ni kuwakosesha watumiaji haki
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Afrika, azungumzia hatua ya kufungwa kwa mtandao huo.
Nishati ya jua Afrika: Mustakabali wa nishati jadidifu
Afrika inamiliki asilimia 60ya rasilimali za jua duniani, lakini hupokea asilimia 2 pekee ya uwekezaji wa nishati safi.
Wasyria warejea taratibu kutoka Ujerumani, wasiwasi bado upo
Kufikia mwisho wa mwezi Agosti raia 1,867 wa Syria walikuwa wamerudi kutoka Ujerumani kwa msaada wa serikali kuu.
Wakimbizi wa Syria wameanza kurejea kwao kutoka Ujerumani
Ujerumani yajitahidi kuwarejesha kwa hiari makwao raia wa Syria.
Kansela Merz aeleza wasiwasi kuhusu nafasi ya Ulaya duniani
Merz amekosoa hali ya kutegemea washirika wa nje hasa katika masuala ya nishati na ulinzi.
Hakuna ushahidi kuhusu vifo vya wagombea wa AfD Ujerumani
Wagombea saba wa chama cha AfD wamekufa katika kampeni za siasa katika jimbo la North Rhine Westphalia.
Vifo vya wagombea 17 nchini Ujerumani vyazua minong'ono
Hakuna chama kingine chochote ambacho kimeshuhudia kufiwa na zaidi ya mgombea mmoja
Matumaini na chuki: Jinsi uhamiaji ulivyoibadili Ujerumani
Ujerumani imepitia mabadiliko makubwa tangu wimbi la wahamiaji la mwaka 2015, likileta matumaini na hofu kwa baadhi.
Mashirika yataka misaada zaidi ya kiutu kwa Afghanistan
Mashirika ya huduma za jamii yataka misaada zaidi kwa Afghanistan
Serikali Ujerumani yaunga mkono kushushwa bei ya umeme
Serikali ya Ujerumani Jumatano imeunga mkono mswada tata wa kushusha bei za umeme nchini humo.
03.09.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 03 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Xi awakaribisha 'rafiki wa enzi' Putin, Kim Jong Un Beijing
Marais wa China na Urusi pamoja na Kiongozi wa Korea Kaskazini wamekutana pamoja kwa mara ya kwanza Beijing.
Wafghanistani walio hatarini waisihi Ujerumani kuwapa visa
Berlin iliahidi kuwapa viza waafghanistan walioko hatarini wakiwemo mawakili, wanahabari na watetezi wa haki.
Xi na Putin wakosoa vikali mitazamo ya Magharibi
Putin amesema dunia ihitaji mfumo unaozingatia maslahi ya mataifa mengi badala ya kuongozwa na mitazamo ya upande mmoja.
02.09.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 02 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Xi na Putin waikosoa vikali mitazamo ya Magharibi
SCO wameikosoa vikali Marekani na Israel kwa mashambulizi dhidi ya Iran na Gaza wakitoa wito wa usitishaji wa mapigano.
Jumuiya ya SCO yalaani vikali vitendo vya Israel huko Gaza
SCO imetoa wito wa usitishwaji wa kudumu wa mapigano na ufikishwaji usio na vikwazo wa misaada ya kibinadamu
Berlin haitotoa visa kwa walio hatarini kuandamwa na Taliban
Pro Asyl ilifungua kesi dhidi ya mawaziri wawili wa Ujerumani kwa kushindwa kulinda haki za wahamiaji.
Ten Hag afutwa Leverkusen baada ya mechi 2
Bayer Leverkusen wameamuachisha kazi kocha wao Erik Ten Hag baada ya mechi mbili tu za Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga
Rais Xi Jinping alaani "tabia za uonevu"
Mataifa ya Jumuiya ya SCO yanakutana kuonyesha nia ya kuyaunga mkono mataifa yanayoendelea ulimwenguni
China kuongeza msaada kwa Jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai
Rais wa China Xi Jinping ameahidi kutoa msaada zaidi kwa maendeleo bora ya Jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai.
India na Urusi zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Uhusiano kati ya New Delhi na Washington umedhoofika kufuatia mvutano wa manunuzi ya mafuta ya Urusi
01.09.2025 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 01 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Khamenei ataka ushirikiano wa China na Iran kuibadili dunia
Khamenei amesema nchi hizo mbili kutoka pande tofauti za Asia, zina uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa ya kikanda.
Miaka 10 ya kauli ya Merkel ‘Tutaweza!’
Miaka kumi baada ya Kansela Angela Merkel kusisitiza kwamba “tutaweza,” Ujerumani bado inapambana na athari za uhamiaji.
Ujerumani haiko tayari kuidhinisha vikwazo vya EU kwa Israel
Umoja wa Ulaya umegawika kuhusu hatua sahihi za kuchukua katika vita vya Gaza na hali inayozidi kuwa mbaya.
Ufaransa, Ujerumani kuipa msaada wa ulinzi wa anga Ukraine
Ufaransa na Ujerumani zimeahidi kuipa Ukraine vifaa zaidi vya ulinzi wa anga baada Urusi kuishambulia vikali.
Ujerumani, Ufaransa kujadili uchumi na ulinzi
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron watajadili mkuhusu ulinzi na uchumi
Iran: Tuko tayari kwa mazungumzo ya haki kuhusu nyuklia
Iran imearifu kwamba iko tayari kuanza tena mazungumzo ya haki kuhusu mpango wake wa nyuklia unazozaniwa.
Ujerumani na Ufaransa wazungumzia uchumi na usalama
Mkutano huo unaofanyika katika jiji la Toulon ndio wa kwanza tangu mabadiliko ya serikali ya Ujerumani mapema mwaka huu.
Ulaya inajiandaa kuirejeshea Iran vikwazo vya UN
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinajiandaa kurejesha tena hatua ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.
Macron, Merz wasisitiza uhusiano wa karibu kati yao
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amepongeza kurejeshwa kwa uhusiano wa karibu kati ya Ufaransa na Ujerumani.
Mamas of Zanzibar: Kutunza utamaduni, kujenga maisha
Wanawake wa Zanzibar wamegeuza urithi wa utamaduni wao kuwa darasa la kipekee kwa wageni, wakijenga maisha bora.
Polisi Ujerumani watoa tahadhari, watoto kuuzwa mtandaoni
Maafisa wa uchunguzi Ujerumani wamebainisha matukio mengine ya kusikitisha ya watoto kuuzwa mtandaoni.
Ulaya yalaani vikali mashambulizi ya Urusi Ukraine
Umoja wa Ulaya umemwita balozi wa Urusi nchini Ubelgiji baada ya mashambulizi makubwa mjini Kyiv yaliyosababisha vifo vy
Iran yasema haijarejea kikamalifu kwenye ushirikiano na IAEA
Iran imesema uhusiano na IAEA ulisitishwa baada ya mashambulizi ya Juni yaliyofanywa na Israeli na Marekani nchini humo.
Wanajeshi wanaofuata siasa kali wafukuzwa Bundeswehr
-
Ushawishi wa muziki katika jamii
Muziki una ushawishi mkubwa mno katika jamii - ni sauti iliyo na nguvu isiyoonekana na inayogusa mioyo ya watu, kubadilisha fikra na kuleta mabadiliko ya kijamii kwa njia ya kipekee. Muziki huathiri karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu na kuunganisha watu bila kujali lugha, dini au asili. Je, unapenda kusikiliza muziki wa aina gani? Muziki umekuathiri kwa namna gani?
Iran yajadili masuala ya nyuklia na mataifa matatu ya Ulaya
Hatua hii inafuatia madai kwamba Tehran imekiuka kwa makusudi makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015.
Ujerumani: Jeshi lina chembe chembe za siasa kali
Wanajeshi kadhaa hawakuadhibiwa kwa makosa waliyoyafanya yanayodaiwa kuendana na mienendo ya siasa kali.
Utamaduni wa jamii ya Wasuba nchini Kenya
Jamii ya Wasuba nchini Kenya ni mojawapo ya makabila ya asili yaliyo na historia ya kipekee na tamaduni tajiri, ingawa kwa sasa jamii hiyo inakabiliwa na changamoto ya kutambuliwa na kuhifadhi utambulisho wao wa kitamaduni. Kwenye Makala ya Utamaduni na Sanaa, Musa Naviye anaiangazia jamii ya Wasuba wanaojitambulisha pia kama Abasuba.
Jukwaa la manufaa
Yasikie maoni uliyotutumia msikilizaji yakijumuisha kero, ushauri na hata pongezi kuhusu masuala kadha wa kadha yanayoendelea kwenye jamii yako kupitia Jukwaa la Manufaa. Ungana naye Angela Mdungu kwa takriban dakika tisa za kipindi hiki akiyapeperusha hewani maoni yako.
Iran: Mazungumzo ya nyuklia na Ulaya yatafanyika Geneva
Iran ilisaini makubaliano ya nyuklia mnamo mwaka 2015 ili badala yake ilegezewe vikwazo
Berlin yabadilisha jina lenye utata wa ubaguzi wa rangi
Barabara iliyokuwa na jina lenye utata Mohrenstrasse mjini Berlin imebadilishwa jina, baada ya malalamiko ya wakaazi.
Ufaransa yasema Iran ifikie suluhu ya nyuklia haraka
Ulaya na Marekani wanadai kuwa Iran inautumia mpango huo kutengeneza silaha za nyuklia
Ujerumani yasema msaada zaidi unahitajika Ukanda wa Gaza
IPC ufikiaji wa malori ya misaada imeimarika japo bado msaada zaidi unahitajika haraka Gaza.
Iran kujadili mpango wake wa nyuklia na Ulaya
Mataifa hayo pamoja na Marekani wanadai kwamba Iran inatumia mpango huo kutengeneza silaha za nyklia
Zelensky: Jamii ya Kimataifa endeleeni kuishinikiza Urusi
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana katikati ya juhudi za kuumaliza mzozo huo kwa amani
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 154
Ukurasa unaofuatia