GAZA: Israel yashambulia kituo cha polisi cha Hamas
3 Novemba 2007Matangazo
Shambulizi lililofanywa na jeshi la anga la Israel dhidi ya kituo cha polisi cha Hamas,kusini mwa Ukanda wa Gaza,limemuua askari polisi mmoja na wengi wengine wamejeruhiwa.Kwa mujibu wa msemaji wa majeshi ya Israel,shambulizi hilo limejibu mashambulizi ya gruneti yaliyofanywa kutoka Ukanda wa Gaza dhidi ya makaazi ya Wayahudi.