1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Berlin | Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz
Picha: Carsten Koall/dpa/picture alliance

Friedrich Merz

Friedrich Merz ni Kansela wa 10 wa Ujerumani. Anatokea muungano wa vyama ndugu vya kihafidhina vya CDU/CSU. Tangu Mei, 2025 anaongoza serikali ya mseto na chama cha Social Democrats, SPD.

Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii

Maudhui yote kwenye mada hii