Friedrich Merz ni Kansela wa 10 wa Ujerumani. Anatokea muungano wa vyama ndugu vya kihafidhina vya CDU/CSU. Tangu Mei, 2025 anaongoza serikali ya mseto na chama cha Social Democrats, SPD.