Frank-Walter Steinmeier ni Rais wa Shirikisho la Ujerumani tangu mwaka 2017. Steinmeier ni mwanasiasa wa chama cha siasa za wastani za mrengo wa kushoto – SPD nchini Ujerumani.