You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Facebook
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Vijana na ajira au biashara mitandaoni
Je wewe unatumia mitandao ya kijamii kwa manufaa gani? Je inakuingizia kipato? Hebu tizama video hii kuhusua namna baadhi ya vijana katika mji wa Dar Es Salaam wanatumia mitandao kufany abiashara lakini pia hisia za vijana wengine kuhusu biashara ya mitandaoni. Msimulizi ni Hawa Bihoga
Tanzania: Kwa nini intaneti kusuasua kipindi cha uchaguzi?
Unyanyasaji wasababisha wasichana kuacha kutumia mitandao
Shirika la Plan International limesema unyanyasaji wa mitandaoni umesababisha wasichana kutotumia mitandao ya kijamii.
Ni vipi mtandao wa LinkedIn husaidia kukuza taaluma?
Katika Sema Uvume leo utafahamishwa juu ya mtandao wa kijamii wa Linkedln ambao kidogo upo tofauti na mitandao mingine unayoifahamu, na jinsi gani mtandao huo unaweza kukusaidia katika kukuza taaluma yako. Mengi zaidi na Sylvia Mwehozi
Facebook, Twitter zamlenga Trump 'kwa habari za kupotosha'
Facebook yafuta chapisho la Trump ambalo kampuni hiyo inasema lilikiuka sheria zake kuhusiana na virus vya corona.
Uturuki yaidhinisha sheria ya mitandao yenye nguvu mpya
Sheria hizo inazitak pia kampuni za mitandao kuhifadhi mawasiliano ya watumiaji.
DJ wa kike 'Sweet Lady' anayetia fora mitandaoni Tanzania
Kwenye kipindi cha Karibuni, safari hii tumemualika studioni DJ wa kike kutoka Tanzania ambaye amejipatia umaarufu mitandaoni hasa kwa kupiga miziki inayosifu chama cha mapinduzi, dj Sweet Lady. Utasikia pia shairi pamoja na 'Je Umeipata hiyo?' Nahodha wako kwa siku ya leo ni Sylvia Mwehozi.
Jinsi ya kujilinda na mashambulizi ya mitandaoni
Watu ambao wanaunga mkono taarifa za uzushi huwa wanaandaa mkakati wa kuwashughulikia waandishi wa habari na wanaharakati wanaojaribu kuchuja pumba na chuya. Je, jinsi gani unaweza kujilinda na mashambulizi ya mitandaoni ukiwa unapinga taarifa za uwongo?
Jinsi ya kuepuka habari feki kuhsusu corona
Katika Sema Uvume Sylvia Mwehozi anatoa mbinu za kupambana na habari feki mtandaoni, hasa zinazohusiana na COVID-19.
Mshirika wa Marcon ajitoa kwenye kinyang’anyiro cha umeya
Benjamin Griveaux alijiuzulu kazi ya uwaziri mwaka jana ili kushiriki katika mbio za meya.
Facebook yaondoa akaunti za bandia za Urusi
Zinahusishwa na na tajiri wa Urusi aliyewahi kushitakiwa na Marekani kwa kufadhili uingiliaji wa uchaguzi wa 2016
Ufaransa yapitisha kodi dhidi ya makampuni ya kiteknolojia
Baraza la Seneti la Ufaransa limeidhinisha kodi kwa kampuni za masuala ya kiteknolojia.
Mitandao ya Kijamii yalaumiwa kusambaa kwa Habari za Uongo
null
Propaganda za siasa kali kuathiri uchaguzi wa bunge la Ulaya
Bunge la Ulaya na siasa kali dhidi ya wageni
Mitandao ya kijamii yasaini mpango wa kuzuia ujumbe wa chuki
Makampuni ya mitandao yaungana na serikali kupiga vita ujumbe wa chuki
Kijana aaminika kujiua Malaysia baada ya swali la Instagram
Msichana huyo alijirusha kutoka paa baada ya swali lake kwenye Instagram kama anapaswa kufa au aishi!
Facebook yatilia mkazo upeperushaji habari moja kwa moja
Facebook imetangaza kutilia mkazo upeperushaji matangazo moja kwa moja ili kuzuia habari za chuki na zinazozua hofu.
Apps zinazorahisisha maisha barani Afrika
Apps sio kitu kigeni kwa Waafrika. Apps za kila aina tayari zinatumika barani Afrika kubadilisha maisha ya watu wa kawaida. Apps hizo zinatumika vijijini katika masuala ya uvuvi na hadi mijini kuwasaidia wakaazi kuziepuka barabara zenye msongamano wa magari. Kipindi cha Sema Uvume kinaangalia Apps tatu tofauto na jinsi zinavyotumika kurahisisha maisha ya Waafrika.
Mshambuliaji alilenga watumiaji mitandao ya kijamii
Mshambuliaji katika misikiti nchini New Zealand alilenga watumiaji maalum wa mtandao wa kijamii
Sema Uvume : Nani anamiliki 'Data' zako ukifariki?
Nani atamiliki data zako pindi mtumiaji anapofariki, Sylvia Mwehozi anasaka majibu kwenye makala ya Sema Uvume
Facebook yatimiza miaka 15 ikikabiliwa na ukosoaji
Facebook imetimiza miaka 15 tokea kuanzishwa kwake, huku ikiwa inakabiliwa na ukosoaji mkali kwa kutolinda ipasavyo data binafsi za watumiaji wake. Na vifaa vya kiteknolojia vinazalisha uchagu wa tani milioni 50 kila mwaka. Je, vifaa vyako usivyovihitaji unavifanyaje?
Bashir: Mitandao ya kijamii haiwezi kuwatoa marais uongozini
Wanaharakati wasema serikali ya Bashir yataka kudhibiti matimizi ya mitandao ya kijamii
Hatua za Kinga dhidi ya Udukuzi Magazetini
Hatua za Kinga dhidi ya Udukuzi Magazetini
Congo ipo njia panda ikisubiri matokeo ya uchaguzi
Uchaguzi wa rais ulifanyika wiki iliyopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na matokeo yanasubitriwa kwa hamu.
Msako dhidi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii Tanzania
Mamlaka nchini Tanzania zinaendelea na msako mkali dhidi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii ambayo haikusajiliwa
Google yaadhimisha miaka 20
Google imetimiza miaka 20 tokea kuanzishwa kwake. Na katika mambo yaliyovuma katika mitandao ya kijamii wiki hii ni vifo vya afande Muhammad Kirumira nchini Uganda na kingine cha msichana wa Kikenya Sharon Otieni anaetajwa kuwa alikuwa na ujauzito alipouawa.
Facebook na Google zafahamu mambo kibao kuhusu wewe
Katika "Sema Uvume" wiki tunajiuliza maswali haya: Facebook, Google na mitandao mingine inafahamu nini kuhusu wewe? Ni data zako gani binafsi zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii? Na unafanya nini kulinda taarifa zako binafsi zisifahamike na wamiliki wa mitandao hiyo? Ni maswali tunayoyatafutia ufumbuzi!
Watendaji Facebook, Twitter, Google kutoa ushahidi seneti
Seneta Mark Warner, naibu mwenyekiti wa kamati ya Intelijensia ya Seneti amesema watendaji hao watahojia Septemba 5.
Nani atarithi akaunti yako ya Facebook?
Inakadiriwa kwamba kila siku watumiaji 8000 wa Facebook wanafariki dunia. Lakini ni nini hatma ya akaunti zao katika mtandao huo wa kijamii? Je, mzazi ana haki ya kupewa neno la siri la akaunti ya Facebook ya mwanae aliyekufa? Ni baadhi ya maswali tutakayojishughulisha nayo katika Sema Uvume naye Elizabeth Shoo.
Maandamano kupinga kodi ya mitandao Uganda
Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji wanaopinga kodi hiyo.
Kodi ya mitandao ya kijamii Uganda
Maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano yamepata sura mpya nchini Uganda baada ya serikali kuanza kumtoza kodi kila anayetaka kutumia mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Instgram. Kodi hiyo inatozwa kwa sababu gani na Waganda wanaichukuliaje? Ni maswali yatakayojibiwa na Elizabeth Shoo katika Sema Uvume wiki hii.
Zuckerberg aomba msamaha na kuapa kurekebisha mambo
Bilionea Mark Zuckerber alifika mbele ya wabunge wa Umoja la Ulaya mjini Brussels kujibu maswali.
Mwasisi wa WhatsApp Jan Koum kuondoka Facebook
Mpango wa kuondoka wa Koum unakuja kufuatia ripoti za kuwepo na mgogoro kati yake na Facebook kuhusu faragha.
Wamiliki wa Blogi Tanzania wapewa muda wa mwisho kujisajili
wanaharakati wamelalamikia sheria hiyo
Ghana yataka adhana itumwe kwa WhatsApp
Misikiti ya Ghana yatakiwa kutumia WhasApp kuwaita Waislamu kwenda kusali badala ya adhana.
Magazetini: Trump na Putin wawindana Syria
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wameandika kuhusu mzozo wa Syria
Uganda kuwatoza kodi watumiaji wa mitandao ya kijamii
Kodi ya kila siku ya kutumia mitandao ya kijamii huenda ikaanza kutozwa Uganda.
Zuckerberg aliomba radhi bunge la Marekani
Mmiliki na mwendeshaji mkuu wa mtandao wa kijamii Facebook, Mark Zuckerberg, ameliomba radhi bunge la Marekani.
Kashfa ya mtandao wa Facebook Zuckerberg kuhojiwa
Mark Zuckeberg asema itachukua muda wa miaka mingi kurekebisha dosari baada ya watu wabaya kuvamia Facebook.
India yatauma waraka kwa Facebook
India yatuma waraka kwa Facebook ikitaka kujua kampuni ya Cambridge Analytica ilitumia data za wapigaji kura.
Facebook yatangaza hatua mpya kulinda data za watumiaji
Marekebisho hayo yanafuatia ukosoaji mkubwa wa kampuni hiyo kwa kuruhusu data za watumiaji kutumiwa hovyo.
l Maoni ya wahariri wa magaeti ya Ujerumani
Tangazo la serikali ya Ujerumanil, kashfa ya data inayoikabili Facebook na kuungana kwa kampuni ya Bayer na Monsanto.
Zuckerberg aomba radhi kwa sakata la Cambridge Analytica
Kampuni ya Cambridge Analytica inadaiwa ilitumia data za mamilioni ya watumiaji wa Facebook kuwashawishi katika chaguzi.
Facebook mashakani
Facebook imepoteza thamani ya dolla bilioni 60 katika soko lake la hisa kufuatia sakata hilo
TotoHealth kuhakikisha afya ya mama na mtoto
Ifahamu huduma ya simu ya mkononi inayoitwa TotoHealth inayotaka kuhakikisha hakuna mama anaepoteza maisha akijifungua.
Jinsi ya kuzuia uhalifu wa mtandaoni
Ni mara kadhaa tumesikia wadukuzi wa nchi fulani wakifanikiwa kuingia katika mifumo ya nchi nyingine na kuiba taarifa mbalimbali. Kitu kimoja ambacho wahalifu wa mitandaoni wanakihitaji ili kufanya mashambulizi ni taarifa tu, kadri zinavyokuwa nyingi ndivyo inavyokuwa rahisi kwao kupenya. Sema Uvume inazungumzia makosa ya kila siku tunayoyafanya yanayowapa wepesi wahalifu kudukua taarifa zetu.
Ulimwengu ungekuaje bila ya intaneti
Vijana Mubashara inaangazia namna ulimwengu ungelikuwa bila ya kuwepo intaneti
Utapanda gari linalojiendesha lenyewe?
Bila shaka teknolojia ndiyo inayoufanya Ulimwengu usonge mbele na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa, lakini ushawahi kusikia gari linalojiendesha lenyewe? Basi kumevumbuliwa gari hilo na kwa bahati mbaya katika siku yake ya kwanza barabarani, lilifanya ajali baada ya kugongana na lori huko Marekani. Utasikia kuhusiana na gari hilo katika makala ya Sema Uvume.
Matamshi ya chuki katika mitandao ya kijamii Kenya
Kila uchao wafuasi wa upinzani na wanaounga mkono serikali hutoa maoni na misimamo yao na hata kushambuliana mitandaoni
DW Kiswahili katika mitandao ya kijamii
Kaulimbiu ya Idhaa yetu inasema "Tunavuma kwa Kishindo" na kama unavyofahamu, hatuvumi tu katika redio bali pia kwenye mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Youtube na WhatsApp. Katika Sema Uvume, elizabeth Shoo anajadili namna unavyoweza kutumia mitandao hiyo kupata habari kutoka kwetu lakini. Pamoja na hayo, wasikilizaji mnatuambia jinsi ya kuboresha huduma zetu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 4
Ukurasa unaofuatia