Erdogan hana uhakika wa kushiriki AL QAIDA.
23 Novemba 2003Matangazo
ANKARA: Waziri Mkuu wa Uturuki Tayyip Erdogan amesema haikuthibitika bado iwapo chama cha kigaidi Al Qaida kilishriki katika orodha ya mashambulio ya kigaidi mjini Istanbul wiki hii. Ni hakika tu kuwa mashambulio hayo yalifanywa na wafuasi wa itikadi kali wa Kituruki, yakiwa na msingi wa kidini, Bwana Erdogan aliliambia shirika la utangazaji wa Kiingereza