Michuano ya ubingwa wa Ulaya kwa wanawake yaingia hatua ya nusu fainali, kina dada wa Ujerumani wakiwa miongoni mwa watakaoshiriki hatua hiyo lakini vile vile utasikia habari kuhusiana na mashindano ya Cecafa na CHAN bila kusahau taarifa za uhamisho wa wachezaji kutoka klabu moja kwenda nyengine katika dirisha hili kubwa la uhamisho.