Huko Kenya Chuo kikuu cha Pwani kwa ushirikiano na Taasisi ya Utafiti wa Masomo ya Kiswahili Afrika Mashariki, RISEA, kinafanya hafla mbalimbali kwa nia ya kuineza masuala ya Kiswahili hasa katika utafiti. Josephat Charo anazungumza na Dr Nancy Ngowa, Mkuu wa kitivo cha lugha katika chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi kuhusu kazi wanayoifanya katika kukikuza Kiswahili.