Kwa miaka mingi bandari ya Mombasa ilikuwa kama kituo kikuu cha kupitisha mizigo kutoka nje ya bara la Afrika na kuelekea maeneo ya Afrika ya Mashariki na Kati, lakini sasa Dar es Salaam imeanza kuipiku. Kwa nini?
Meli ikiwa imeegesha kwenye bandari ya Mombasa.Picha: AP
Matangazo
Eric Ponda kutoka Mombasa anaangalia sababu za kuporomoka kwa biashara kwenye bandari ya Mombasa na kinachowafukuza wafanyabiashara kwenye bandari hiyo kukimbilia bandari ya Dar es Salaam. (Tafadhali, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini kusikiliza).