Papa Francis alifariki dunia Aprili 21. Mkutano wa makardinali wa kuchagua Papa mpya, ambao ni mchakato mgumu na wa siri, umeanza Mei 7.