Mkutano wa kilele wa China na mataifa ya Afrika umekamilika huku China ikiahidi kutoa dola bilioni sitini kwa mataifa ya Afrika, pesa ambazo zitaingia barani humo kwa njia ya mikopo, misaada na kadhalika. Msikilize Mohammed Khelef akilijadili suala hilo na wachambuzi katika kipindi cha maoni.