Saleh Mwanamilongo
23 Januari 2023Matangazo
Wakati huo huo, upinzani umeendelea kususia mchakato mzima wa uchaguzi. Katika makala ya Kinagaubaga, Salehe Mwanamilongo amezungumza na Paul Muhindo Vahumawa, Naibu Msemaji wa CENI, ili kufahamu kwa undani zaidi athari zinazoweza kujitokeza katika kalenda ya uchaguzi na hatma ya wapiga kura kwenye majimbo ya Kivu na Ituri ambayo yanaendelea kukumbwa na machafuko.