Bündnis 90/Die Grünen ni chama cha siasa cha nchini Ujerumani ambacho sera yake kuu ni ulinzi wa mazingira. Kanuni elekezi ya "siasa za kijani" ni uendelevu wa kiikolojia, kiuchumi na kijamii.