Baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tanzania Dotto Biteko kutoa taarifa za kuwashwa kwa mtambo wa mwisho katika bwawa kubwa la kufua umeme la Mwl. Julius Nyerere, je, adha ya kukatika umeme itakuwa historia? Suleman Mwiru amezungumza na Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati Tanzania kufahamu hilo.